Ujambazi eneo la Tabata Matumbi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujambazi eneo la Tabata Matumbi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ELFU-ONEIR, Oct 22, 2012.

 1. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  KUMETOKEA TUKIO LA UJAMBAZI JIONI HII MAENEO YA TABATA MATUMBI BARABARA YA MANDELA AMBAPO MAJAMBAZI WANAOKADIRIWA KUWA WATATU WALIVAMIA GARI MOJA AINA YA PRAO KWA NIA YA KUJICHUKULIA FEDHA AMBAZO WALIKUA WAKIZIFUATILIA KWA MUDA MREFU. LAKINI WALIPO FIKA ENEO LA MATUMBI NDIPO WALIPO PIGA RISASI TANO HEWANI ILI KUWATISHA WANANCHI WASISOGEE KARIBU.

  KATIKA TUKIO HILO DEREVA WA GARI HILO ALIJERUHIWA MKONONI NA WAJAMBAZI KUFANIKIWA KUTOKOMEA NA FURUSHI AMBALO HAIJAJULIKANA NI KIASI GANI.

  "BAADA YA KUVUNJA KIOO CHA DEREVA ULISIKIKA MLIO WA RISASI BAADAE MMOJA WAO ALIKUJA NA KUFUNGUA MLANGO WA NYUMA UPANE WA KUSHOTO NA KUCHUKUA FURUSHI NA KUONDOKA NALO, LAKINI WANANCHI WALIPOANZA KUSOGEA ILISIKIKA MILIO MIWILI YA RISASI KISHA MAJAMBAZI HAO WAKAPANDA PIKIPIKI AMBAZO ZILIKUA ZIKIWASUBIRI KATIKA "SERVICE ROA" NA KUTOKOMEA" ALISEMA SHUHUDA MMOJA

  BAADA YA TUKIO HILO EREVA WA GARI ALISEMA MAJAMBAZI HAYO HAYAKUFANIKIWA KUIBA FEDHA BALI YALIKUA NI MAKARATASI KWASABABU WALISHA HISI KUWA WALIKUWA WAKUFUATILIWA NA MAJAMBAZI.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]


  source: HABARI ZA MITAA Blog

  WATU WANAUNDUGU NA HELA
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ngoja kwanza tupate uhakika kutoka kwa afande suleiman kova.
   
 3. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Funguka vizuri, kiroba wameondoka nacho toka wapi, Bank, kwenye gari la mtu, dukani au wapi?! Taarifa haijakaa sawa.
   
 4. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  dizain kama habari iko sawasawa kwa upeo wangu lakini.
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Unatumia kinywaji gani? Si unajua power bi illegal eh
   
 6. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  CHADEMA wanahusika!
   
 7. d

  dilemma Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona mleta uzi alikuwepo kwenye gari lililovamiwa; maana uandishi uliambatana na kutetemeka as if risasi zimemkosa kwenye mikono.
  Poleni wahanga.
   
 8. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Ni hatari ila ni habari nzuri kama hawakuondoka na hela, lakini kwa nini hawa jamaa waliamua kutembea na hela katika gari !!!:sorry:
   
Loading...