Rais wetu Kikwete anapendwa, kuheshimiwa sana nje ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wetu Kikwete anapendwa, kuheshimiwa sana nje ya Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ACCOUNT FULL, Oct 22, 2012.

 1. A

  ACCOUNT FULL JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 1,943
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  habari,juzi nimeongea na ndugu yngu alyepo oman, amesema kuwa rais jk alvyokuwa huko mfame wa huko ktka kuonyesha kuwa anamkubali sna rais wetu,alimpeleka kulala katika moja ya mahekalu yake lililoko ufukweni mwa bahari badala ya hotelini kma inavyofanyika kwa wageni wengine,kma ndivyo ilivyokuwa, nathubutu kusema kuwa jk anakubalika sna.

  Hiyo ni ishara kuwa rais wetu ni mmoja kati ya maraisi mwenye ushawishi pamoja na kukubalika na viongozi wa mataifa mengine, na hyo inaweza kuwa ni sababu ya kupata mialiko sehemu mbalimbali duniani,ingawa baadhi ya watu huztafsiri tofaut safari hzo,ingawa baadhi ya matunda ya hizo safari tunayaona.
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  That is the best of yourself
   
 3. J

  John W. Mlacha Verified User

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  wanaitaka zanzibar yao..na hilo kasri wamejenga mababu zetu watumwa
   
 4. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  :boom:
   
 5. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Lazima afanyiwe hivyo kwani sultan anataka kurudi Pemba
   
 6. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Ngoja waje!Utajuta kupost hii thread.
   
 7. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo hicho ndicho kipimo!! Tena nchi yenyewe oman, sitashangaa anawapa twiga kila siku, mbona us aliishia kwenye koridor jikoni!! Hana maana yoyote!
   
 8. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Oman nayo nchi??? Hana lolote huyo jk wako!
   
 9. S

  Savannah JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Loliondo ilikwisha uzwa kwa warabu, labda na yeye kisha patiwa kisehemu mahali.
   
 10. M

  Mum Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  au na yeye anauza huwezi jua mzee dhaifu
   
 11. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Upuuzi mtupu. Yaani kuwekwa ndani na mfalme wa Oman ndiyo kupendwa? Kama anapendwa ni huko Oman alikopata Rahma Kharoos lakini si Tanzania. Angependwa angepopolewa kule Mbeya au kuitwa bwana dhaifu? Angependwa angependa kurukaruka badala ya kukaa ofisini? Acheni utani au neno kupendwa hamlijui.
   
 12. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  anadharaulika sana, na soon ataanza kupokewa na maafisa watendaji kata huko ughaibuni akupendako
   
 13. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  u have said it all my brother!!!
   
 14. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Thanks Casico my child. We need to say it rightly and openly. Again, it seems that there are some goons sent by JK to sing praises for him even where they are supposed to curse him.
   
 15. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,494
  Trophy Points: 280
  ... Kama anapendwa sana huko Oman, basi Twiga na Tembo wetu watapanda tena ndege wakati mimi sijawahi hata siku moja!
   
 16. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwa kuwapakilia Twiga na ndege wetu wazima hata ningekuwa mimi ningemkaribisha hata
  kitandani kwangu ili akirudi anipe na wengine kuja kwenye nchi zetu.Halafu kuna mke wa kiarabu
  ati so ni mkwe kule ati"
   
 17. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kiherehere cha kwenda kuwaambia tumegundua gesi na mafuta nani kamtuma huyo mburula?
   
 18. Nairoberry

  Nairoberry JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 570
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kikwete is a pan african he is the one who made me love the ccm party very much. He has brought alot of development in tanzania and he is loved in allof east africa and especially kenya. Long live rais kikwete tunakupenda.
   
 19. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  We aint living Pan African Ages kiddo,
  What is you definition of a Great leader?..
  What kind of development did he bring?..Atleast he "made you" love CCM very much!But just because he turned your heart from nowhere to CCM...you dont call that development.
   
 20. Nairoberry

  Nairoberry JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 570
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Brother if you have a problem with kikwete please do not bring it here. Like I said kikwete is a pan african and will be remembered alongside kwame nkurumah,nelson mandela among other african greats. Remember a prophet is not appreciated in his home area but go to rwanda burundi uganda and kenya. He is very loved after him lowassa will become president
   
Loading...