KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Juzi tulishuhudi Magari ya Kijeshi yakiwa yamebeba wanajeshi yakirandaranda mtaani kwa nia ya kudhibiti vurugu za waislamu!Lakini swali nikwamba Jeshi la polise limeanza kuingiwa baridi na kuomba Manpower??Maana Kamanda kova aliuliswa na BBC kuhusu jeshi kuhusika kudhibiti vurugu akakana kwa kusema hajui kama na wao walikuwa kwenye hiyo operation ila yeye anasemea upande wapolisi!!!
Mimi nauliza je tumefikia hapo??Inamaana uwezo wa polisi wamefikia hapo!?
Mimi nauliza je tumefikia hapo??Inamaana uwezo wa polisi wamefikia hapo!?