I need a political research tittle

magombe junior

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
2,015
1,032
Wadau nafanya maandalizi ya kuandika tittle ya research na ningependa iwe inahusu siasa,nawakaribisha kwa roho safi ambae anaweza kuja na titlle ambayo itakua relevant na mazingira ya siasa za sasa,karibuni michngo yenu muhimu
 
"Factors that hinder the efficiency and effectiveness of JK as a president of Tanzania"
 
Wadau nafanya maandalizi ya kuandika tittle ya research na ningependa iwe inahusu siasa,nawakaribisha kwa roho safi ambae anaweza kuja na titlle ambayo itakua relevant na mazingira ya siasa za sasa,karibuni michngo yenu muhimu

angalia siasa ya Tanzania kwa umakini sana then utapata mambo mengi na humo humo utapata title ya research yako...usitake kutafuniwa kila kitu
 
Jamani tuitendee haki elimu yetu. Hauyumkiniki mtu akupe title ya research halafu wewe ndio ufanye hiyo research, naona ni kama unamuadalia report huyo aliyekupa title na ni kama vile unafanya consultancy badala ya academic research.

Nakupendekezea titles, lakini lazima uni-acknowledge kwenye hiyo research yako.
Factors leading to Islam Fundalmentalism in Africa, A case of Tanzania.
Why Multipartism has led to Political Unrest in Africa, A case of Tanzania.
 
Wadau nafanya maandalizi ya kuandika tittle ya research na ningependa iwe inahusu siasa,nawakaribisha kwa roho safi ambae anaweza kuja na titlle ambayo itakua relevant na mazingira ya siasa za sasa,karibuni michngo yenu muhimu

Hapo kwenye red ukipunguza 't' moja utaiona 'title' ya research!!
 
Think about proposing a new political system in Tanzania. TOR: The new political system should integrate:1) Socialism system, 2) Capitalism system, (3) Dictatorship system, and (4) Military system. Based on the 4 systems, you should come out with a new system to be applied under the new constitution in 2015 election. Usiniulize chochote, I am an Engineer, just appreciate my contribution.
 
Imenilazimu kuandika,baada yakupata tittle utaomba problem statement.Ina maana hujaona vitu vyakutafiti na matatizo yote tuliyonayo?By the way hata hizo title ulizopewa zimepitwa na wakati "factors" factors" mara "impacts"impacts.Review literature +methodology za journals then utapata chakuandika,tutolee elimu zakubebwa bebwa.Matokeo yake utakuwa kama naibu waziri aliyetuharibia SA.
 
Take this my son; How will Tanzania look like after all these years of corruption, nihilism, Nepotism, ballyhoos and whatnot especially at this time everybody is a thug in his or her own light without forgetting sheepish and foolish citizenry and their future as it hangs in balance for their stupidity. Umeipata mwanangu?
 
I think this is an academic masturbation at Jamiiforums. Since when did JF members start conducting researches for others? We are the one complaining day and night on the quality of our education. And what is this? What a shame to those who already proposed titles. This young man is in the academia, he is asking others to proposed research title for him! I hope he is just joking, if he is serious, why, can't he proposed various titles so that members can recommend any of the proposed titles with arguments. I wonder whether this young man has an idea of what research is leave alone conducting one on a subjective topic like Tanzanian politics. With due respect, I advise the young man to go back to class and read before embarking on issues of research. I submit
 
Technique which leading political parton power use to suppress opositions: A case study Tanzania

hypothesis:
  • main part acuse emarging parties of being religious,regional and tribalism
  • main part steal casted votes
  • main part bribe voters
  • main part induce voters not to vote for changes because of experiance, violance, etc

frame vizuri hapo hiyo title na hizo hypothesis, halafu nenda kafanye kazi!
 
Jamani research, hasa academic research must be original! kaka si vema mtu akakuchagulia au akofumulate title for your study!! this is not academic, RESEARCH TITLE moja ya vigezo vyake ni kwamba wewe mfanya study lazima uwe na interest na hiyo title yako pia iwe ni career yako! Humu JF tutakusaidia lakini mwisho wa siku SUPERVISOR wako atakuonyesha kazi!!, so be original so long as you know the field!! kaza buti tunahitaji quality reseachers!!
 
Back
Top Bottom