Kumbe Degree haisaidii ku win Life??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe Degree haisaidii ku win Life???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Oct 23, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Jamani jamani
  nashangaa sana hawa wenzetu waliofanikiwa kufika vyuo vikuu wanavyo ishi maisha mabovu,mimi sikufanikiwa kufika chuo kikuu niliishia huku chini,nilifikiri waliofanikiwa kufika huko juu mambo yao yatakuwa shwaaari!kumbe hakuna kitu mambo ni ovyo tu yaani mara nyingine najiuliza kulikuwa na haja gani ya wao kulazimisha kwenda chuo kikuu??jamaa wanatembea town na mavyeti yao mpaka yanapauka eti wanatafuta kazi,jamani!mimi nilikuwa najilaumu kwa nini sikwenda chuo kikuu nionekane msomi kama wao kumbe nilifanya uamuzi wa busara bwana,jamaa zangu karibu wote waliokwenda mlimani mwanzoni wa miaka ya 2000 wapo wanasota mitaani na vibarua vya temporary,kibarua kikiisha anakuja kijiweni eti tumpige tough kwa sababu anatafuta kazi nyingine mara ana project anataka kuanzisha,kumbe wao wanafikiri tofauti na sisi,badala ya kwenda pale songea au tunduma na kuanzisha kibiashara kwa kutumia elimu yao waliyopata wanakaa vijiweni na kumba vihela kwa jamaa zao,kumbe hakuna haja ya kwenda chuo kikuu
   
 2. j

  jakamoyo JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  vp mkuu, mbona kama umeandika ukiwa na hasira?
  Usikariri, sio wote wako hivyo, wengine wamemaliza na kuajiriwa moja kwa moja.

  Elimu ina umuhimu wake mkuu, usijipe moyo, fanya na wewe ukaongeze utaona umuhimu wake.
   
 3. J

  John W. Mlacha Verified User

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  hahaaaaaa
   
 4. j

  joline365 Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwenda chuo kikuu muhimu sana ndugu, fanya bidii na we upate degree ili ufanye mambo yako kwa ufanisi zaidi. Wapo wengi waliopitia chuo kikuu na mambo yao yametulia sana.
   
 5. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Elimu ni muhimu sana kuwa nayo (silaha) hata kama hukupata ajira
   
 6. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,926
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  fanya haraka urudi shule
  kuajiriwa sio kipimo cha umuhimu wa kua na maarifa
  elimu ni ufunguo wa maisha yako kifikra na kimaendeleo
  rudi shule kijana..
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu tuseme umemaliza secondary halafu ukaishi nje ya nchi ukiwa na kozi ndogo ndogo,huyu mtu tuseme ana elimu au?
   
 8. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Nje ya nchi ndiyo nini sasa? Hujui kuna hadi ma-house girl kutoka bongo huko nchi za nje?
   
 9. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Elimu utakuwa nayo lakini huwezi kuwa sawa na wa level ya Degree, ni vizuri kujiendeleza ukipata fursa
   
 10. D

  DR. RICHARD Senior Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Haya mawazo yako ni yaupande mmoja 2 wa fikra, kwani unataka kuniambai wote ambao hamkuendelea na masomo mmefanikiwa kimaisha?
  Je, ni kweli kwamba wote walioenda chuo kikuu maisha yao yanawasumbua sana?

  mwaisho kukosa elimu ni kuendelea kuwa na jicho moja 2 la asili, ambalo kuona kwake huwa ni umbali mdogo sana, kwenda shule ni kupata jicho la ziada linalokufanya uone umbali zaidi ambao hukuweza kuufikia mwanzo, pia kuwa na degree si maana ya moja kwa moja kwamba uwe na maisha mazuri kama ambavyo watu wanafikiri, lakini inakusaidia kujitambua amin usi amini lazima kuna vitu vya msingi wamekuzidi
   
 11. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Fanya hima uende chuo maana weredi wako ni mdogo sana!
   
 12. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  [FONT=&quot]''It is not the strongest of the species that survive,nor the most intelligent,but the one most responsive to change"[/FONT]

  [FONT=&quot]-CHARLES DARWING[/FONT]
   
 13. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Elimu ni Ufunguo wa Maisha!
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mkuu comment yangu hii niliwahi kucomment bongo celebrity mwaka 2008, Topic ilikuwa kuhusu mr blue
   
 15. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Sawa hakuna shida.Mimi nimempa bwana mkubwa kama nukuu na ndio maana nikaiweka na mtoa nukuu.Hapana maneno rafiki.Nilitaka jamaa aelewe kwamba kuna siku mabadiliko yatahitajika na sisi wa chuo tutapata nafasi zetu.
   
 16. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Inferiority complex at work! Jipange.
   
 17. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  rudi shule ukatoe ujinga mkuu,we huoni matajiri na mipesa lukuki wanasoma elimu ya watu-wazima!!
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280


  CHUKUA HII MEMORY LANE-#TBT

  Commented on October 9th, 2008 1:03 am  1.Habari Zenu Wabeba Box,Hombiz,Majita,sexycecy,bimkubwa,matty na wengine wanaonidiss me kwenye comments na kumdiss blue kwa uamuzi wake


  2.Big Up Mh Lukamba,Mimi na Any kwa kuwa na mtazamo mkubwa wa maisha wa kuangalia pande zote za shilingi na co ao wenye mitazomo ya mwaka 47.


  3.Nyie watu kumbukeni Elimu ni pana sana na co mnavyofikiria.Kuna 4mal and in4mal education nadhani mlitambue hili wazeya.inawezekana kabisa mr blue asiwe na 4mal education hiyo mnayong'ang'ania ya kukariri madesa but akawa best kwenye in4mal education ambayo inamuwezesha kukabiliana na mazingira halisi kumbuka hata charles Darwin alisema kwamba "It is not the strongest of the species that survives, nor the most intelligent, but the one most responsive to change" kama wewe unafikiri


  kwamba ukisoma ndo maisha utayaweza kweli wewe utakuwa una upungufu wa kufikiri kichwani(UKUKI) hata mari andrreti anakwambia "If things seem under control, you're just not going fast enough.",Life its all about challenge and how you overcome those challenge me nampa 10 na co 5 mr blue…Keep it on ..hustler


  4.Na wewew hombiz unaongea pumba tu..Ushawahi kumuona m2 anapush vogue kwa kutegemea mshahara wa kila mwezi,acha ujinga wa mawazo Kila m2 atafanikiwa endapo atakuwa serious kwa ki2 ambacho anachokifanya,big up mimi kwa kuwaeleza kuwa kuna specialization co kila m2 awe na degree ona 50 cent ajaenda shule lakini he the richest rapper ever na anabuni miradi mbalimbali sasa anatumia nini kubuni hiyo miradi wakati shule ana? you get my point

  HABARI NDIO HIYO


  Read more: WANAMUITA MR.BLUE - BongoCelebrity
   
 19. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,926
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280

  mi-prochadema ndivo ilivo..
   
 20. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  duh mkuu umekanyaga kwa hasira kweli. btw mbona umepotea sana?
   
Loading...