Mzazi ameshindwa vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzazi ameshindwa vipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bysange, Oct 23, 2012.

 1. bysange

  bysange JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 4,378
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Juzi wakati anafunga rasmi suala la uchaguzi wa CCM kwa wanawake raisi wa tanzania alitamka kukerwa na ununuaji wa kura ama waweza ita rushwa iliyogubika mwenendo mzima wa uchaguzi huo,kama katika kada nyingine watuhumiwa huwa wanasimamishwa kupisha uchunguzi katika hili ameshindwa je yeye kama mwenyekiti wa ccm kuwasimamisha hawa?

  Au wanawake hawa wapo nje ya CCM na kama ndivyo yeye anahusikaje kwa wamama hawa na umoja wao?
  Ama ni seme kuwa amekubali kwa moyo ila kwa maneno amekasirika juu ya yote yanayo gusa donda ndugu a.k.a rushwa ama kwa tafsida zaidi takrima?

  Tusaidiane mawazo wanajf
   
 2. e

  evaluator Senior Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nafkiri unapungukiwa tafsiri ya neno kushindwa,uyo Mzee ameshindwa kila idara,ila mbaya kuliko yote ameshindwa hata kuficha Kua ameshindwa!shame on me being a tanzanian.
   
Loading...