Hando not Kibonde | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hando not Kibonde

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mlachake, Oct 23, 2012.

 1. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Aliyesikiliza jicho la ngombe leo atajua Gerald Hando sio Kibonde.

  ''Ni kweli ccm imefikia sehemu ya kushindwa kumshawishi mtu bila Hongo''

  ''Hivi ni kweli CCM- ndio Chukua Chako Mapema"

  Hii ni kuhusiana na yaliyotokea katika uchaguzi wa UWT huko Dodoma

  Big up Hando.
   
 2. B

  Bayyo JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,132
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Nini kimetokea, eleza vzr c wote waliopata taarifa. Huyo Hando ni nan?
   
 3. m

  mancy Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tupo pamoja mkuu tumemsikia alivyowapa vidonge vyao
   
 4. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  dogo KATISHA SANA! Lakini sio lazima watangazaji kufanana.
  umahiri ni mchanganyiko wa IQ, elimu, utashi, dira binafsi,kujituma na makundi.
   
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  Hao watu hivyo vitu wanavyoongea hapo studio huwa wanapangiwa....ni vichache sana huongea kwa utashi wao.
  Vile vipindi ni kama TV series tu, wanaangalia jamii inataka nini...
  Huyo Hando naye kuna wakati huwa anafuka kama sembe mbichi
   
 6. n

  ngudzu Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wote magamba tu hawana tofauti
   
 7. I

  IDIOS Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sina uhakika kama hando ni tofauti kimsimamo na kampuni nzima.

  Clauds fm ni kampukani pscha na CCM penda usipende ndo ilivyo, hapo Hando kawazuga tu.

  Ni hayo tu bt fungueni macho na muone. Nawasilisha.
   
 8. FOR 2015

  FOR 2015 JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kibonde ni janga la Kitaifa anautafuta u DC,,,,,,,,,tumpuuze
   
 9. M

  Mchaga HD Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  morning jam ya capital now adays imekuwa yakitoto,eti wana bishana tv inakiuno..badala yakuongelea mambo yalipo ktk nchi hii..yule jamaa aliekuwepo kaenda wapi?nampenda sana,ana iq yakutosha.naomba mnijuze tafathali.
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Huyo Hando ni mpuuzi tu sawa na Kibonde, mtu pekee ambaye aendekezi njaa na kujikomba kwa hawa media house ni Masoud Kipanya tu.
   
 11. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Mimi nimepitwa wajameni, jamaa kaongea nini? Tujuze kidogo.
   
 12. h

  hacena JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Na Fina Mango, nadhani hata Gadner Giabash yalimshinda.
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  TV ina kiuno?........wanabishania hilo?
   
 14. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo huwa inakatika!!:A S tongue:
   
 15. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,212
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Kiukweli kabisa J hando kaoengelea mambo ya mcingi saana kuhusu Nyinyiemu , sawa iko wakati anawaponda wanasiasa wa vyama vingine kiubaya sana
  Lakini nimemuona amesimamia kidete serilkali kuhusu wale watoto wa halaiki kuhusu kifuta jasho chao kutoka kwa serikali akasema vizuri sana Ally Rufunga mkuu wa mkoa wa Shinyanga na leo ilikuwa zamu ya CCM na Magazeti yake.

  Mnyonge mnyongeni ila haki zake mpeni
   
 16. c

  chakarikamkopo Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hivi CCM ikizungumza vizuri kuhusu CDM siku moja.........basi inakuwa imebadili mtazamo wake kuhusu CDM? sipendi kumpongeza mtu kwa hizi isolated cases....napenda TOTAL CHANGE
   
 17. dunia tunapita

  dunia tunapita JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 398
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  amenichekesha sana leo jamani
   
 18. MANI

  MANI Platinum Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,410
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280
  Sawa mkuu na ndio maana hadumu kwenye hizi stesheni zetu !
   
 19. U

  Uswe JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jamaa anaitwa Fadhili haule, kahamia TimesFM, naona kachukua nafasi ya masudi kipanya
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Hata umeme una VIUNO vingi sana
   
Loading...