Kwa nini tunawapigania Mitume??

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Kama Mtume alitumwa na Mungu na wote tunajua Mungu ana nguvu kwa sababu dunia na vyote viijazavyo ni mali yake kwa nini tuwapiganie Mitume waliotumwa na huyo Mungu?
mimi nikiwa kama mkristo na akatokea mtu kumkashifu Yesu ambaye mimi namwamini kama alitumwa na Mungu,je kwa nini mimi nigombane na yule mtu anayemkashifu??kwa sababu kwanza sijawahi kumwona Yesu kwa macho
kama Mtume mwenye nguvu anapiganiwa na wafuasi wake ilihali hata hawajawahi kumwona na kuamini 100% kuwa mtume huyu ni kweli aliishi hapa duniani hilo ni tatizo
ndugu zangu tubadilike tuache kuiga maisha ya Waarabu wale wana laana inayowasumbua,sisi tupambane na umaskini wetu tuacheni na uduni wa kuiga maisha ya watu wasio na uhusiano na sisi
 
Unajisumbua tu kuwauliza hawa watu haya maswali.
 
Mbona mitume wako wengi hata hapa TZ wapo!

mfano mtume na nabii Josephat mwingira,
 
Ndugu , ni ipi imani na ufahamu wako kuhusu maisha baada ya haya ya duniani?

mkuu biblia inasema huwezi kumpenda mungu ambaye hujawi kumwona na kumchukia jirani yako anayemwona kila siku,mpende kwanza jirani yako ndipo utakapompenda mungu??sasa kupigania mitume ambao hatujawi kuwaona ni busara hiyo?
 
Kwa sababu mungu hayupo na habari nzima ya kwamba mitume wametumwa na mungu ni geresha tupu.
 
for and back Bible is a verry complicated book ever in the world du!
 
Kwa sababu mungu hayupo na habari nzima ya kwamba mitume wametumwa na mungu ni geresha tupu.
kwikwiwkiwkwiwkwiwkwiwkiwwkiwkiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkiwwkwi ngoja wenye dini zao waje hapa uwaambie NO GOD hawatakuelewa
 
muda mwingine huwa natamani sana maisha ya mababu zetu tuabudu sanamu,miti mikubwa,mapango,njia panda sababu were no complication at all ,wote walipendana sanasana ,sasa baada ya kuletewa dini na meli za waarabu na wamissionary imetuletea mushkeri

imani nikuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo bayana ya mambo yasiyoonekana mbele za macho,ninaishi kwa neema za mwenyezi mungu tu.la sivyo sijui naamini nini kwa kweli mie.
 
Watu hawapiganii Mitume bali Imani zao. Swali kama hilo unaweza kuwauliza watu ambao mara nyingi huamua kukojolea Qur'an, kuichoma au kuiweka chooni. Je, nani anawapandisha chuki kufanya hayo na nia yao nini? Kwani hata wakifanya hivyo bado mafundisho yapo mioyoni mwa watu hivyo haisaidii chochote kutenda hayo. Tukumbuke jambo lililo moyoni mwa mtu ni vigumu kuliondoa ila lililo akilini. Waambie baadhi ya wachungaji wanaoamua kupoteza muda kuwapandikiza chuki waumini wao kuwa Qur'ani ni kitabu cha shetani hivyo kinajisiwe na kiteketezwe! Hawa wanajua jinsi Waislam wanavyoheshimu Mitume na Vitabu vitakatifu. Ndio maana hutaweza kusikia Waislam wakinajisi Injili na kuichoma moto au kuinajisi, wala kumtukana na kumkashifu Yesu mwana wa Mariamu aliyetumwa kuwaokoa Wana wa Israel. Angalizo; Si busara kucheza na mambo yoyote yanahusiana na imani za watu. Hata wale baadhi ya Waislamu wanaotumia dini kujipatia maisha mazuri ya duniani wanapswa kuumbuliwa kwa kutangazwa ikiwa umepatikana ushahidi kwamba wao hawafuati mila ya Kiislamu bali usanii.
 
kwikwiwkiwkwiwkwiwkwiwkiwwkiwkiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkiwwkwi ngoja wenye dini zao waje hapa uwaambie NO GOD hawatakuelewa

in fwankti there are "gods" but not God, hawa hawa wanaotumia kivuli cha kumpigania mtume kwa kupora mali za watu hawamtumii "mtume" katika mambo yao, bali hutumia "MAJINI". To them, what is the use of God?!
 
muda mwingine huwa natamani sana maisha ya mababu zetu tuabudu sanamu,miti mikubwa,mapango,njia panda sababu were no complication at all ,wote walipendana sanasana ,sasa baada ya kuletewa dini na meli za waarabu na wamissionary imetuletea mushkeri

imani nikuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo bayana ya mambo yasiyoonekana mbele za macho,ninaishi kwa neema za mwenyezi mungu tu.la sivyo sijui naamini nini kwa kweli mie.

'Ukitaka kufahamu ubora wa kampuni angalia watu walioianzisha.....'
Tupo tunapigania vitabu vya hadithi za KIRIKOU waliovileta wanajibebea dhahabu, wanyama hai, watumwa,...
 
The Quran in Sura (Chapter) 2:223 says:
Your women are your fields, so go into your fields whichever way you like . . . . (MAS Abdel Haleem, The Qur'an, Oxford UP, 2004)
 
The Quran in Sura (Chapter) 2:223 says:
Your women are your fields, so go into your fields whichever way you like . . . . (MAS Abdel Haleem, The Qur’an, Oxford UP, 2004)

inamaana mpaka hawa matapeli wa vitabu vya kiada na ziada OXFORD tena makafiri wanapiga kopi kitabu chenu kama vya stad za kaz na maarifa ya jamii kweli mnamatatizo!
 
Anapiganiwa kwasababu hawezi kujipigania.
Kama hawezi kujipigania basi hawezi pia kuwapigania wanaomuabudu.
 
Back
Top Bottom