Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maige, Dr. Chami & Mkulo mpo wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by andreakalima, Oct 23, 2012.

 1. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 1,870
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Asalam Aleikum!
  Nimetokea kuwakumbuka waheshimiwa tajwa hapo juu kwa vituko walivyofanya muda mfupi waliopewa mamlaka, daah baada ya kumwagwa sasa hivi kimyaaa au ndo mnajipanga 2015 MTOKEJE? Fa Mchezo na Handsome Boy!! piga wote chini kudadeki
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,425
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  mkulo mda mwingi yupo jimboni mwake
   
 3. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 1,870
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Aaah! Nimewasahau na NGEEE LEJA, na Mzee Nundu!! teh teh ila funika mbovu alikuwa MAIGE pamoja na kujitetea Mkwe reee akammwaga chini!!!
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,140
  Likes Received: 2,373
  Trophy Points: 280
 5. N

  Nguto JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  MmmmH huu sasa uchokozi!!! Waheshimiwa wa watu wametulia mnaanza kuwachokoza!!1
   
 6. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  Mkulo Nasikia Hakuwa Raia!! Na hizi Choko choka za Mpaka wa ziwa huwenda amekuwa one sided
   
 7. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,773
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Maige anauza hekalu lake,mkulo anataka kurudi kwao malawi,Dr chami anataka kuanzisha mbege breweries!
   
 8. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Si kweli, Mkulo anaonekana Dar akiendesha Vogue lake la nguvu sana. Huyu jamaa kwa kweli kaiba sana. nasikia ni raia wa Malawi, haya yana ukweli?
   
Loading...