Watanzania tukiomba Mungu atatupa Rais na sio J. K atuchagulie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tukiomba Mungu atatupa Rais na sio J. K atuchagulie

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TumainiEl, Oct 23, 2012.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,895
  Likes Received: 1,650
  Trophy Points: 280
  Napenda kusema watanzania tusipate maumivu kwa yale yanafanyika ktk serikali hii, ila tambue kama Mungu alivyo achia J. K akawa rais pamoja na mapungufu yake ndivyo Mungu atakwenda kutupa kiongoz madhubuti, mwenye uwelewa na busara ya juu itakayokwenda kurudisha umoja wa kitaifa. Nilazima J. K ajuwe hatoweza kutuchagulia atakae mrithi, na uzuri tulimtambua tangu mwanzo sasa Mungu ataenda kushuka maana vilio vya watanzania vimemfikia Mungu kwa yale huyu mkuu anayafanya. Kweli Mungu yupo na watanzania tusiogope let us stand us one na tumwambie huyu mkuu ni kweli wewe ni amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ila sio amiri jeshi mkuu wa roho za watanzania na kwa sababu hyo huwez kuwa Mungu na kamwe hutokuwa Mungu na hata ufanyeje hutokua Mungu hivyo hili taifa sio mali yako na sisi sio mali yako hvyo maliza Muda wako ukapumzike ila mrith wa kiti chako Mungu alie kufanya wewe ndio atakaye Mchaguwa. End.
   
Loading...