Nisaidieni wakuu hivi mshawahi ona hizi bidhaa zikisafirishawa? kama vile bia,soda,fedha na vitu vingine hua vinasafirishwa aidha kwa magari au njia nyingine yoyote lakini sijawahi kuona gari la sigara
Wanatumia magali madogo ka pickup ila inatengenezewa body imala kwani nikama pesa vile na ulinzikmkali wa askali.
mkuu umekosa "r"Wanatumia magali madogo ka pickup ila inatengenezewa body imala kwani nikama pesa vile na ulinzikmkali wa askali.
Hii kitu inalindwa kama pesa mkuu
cigarettes smoking is dangerous to your health
Na kwa kuongezea, hairuhusiwi kufanya branding kwa kuvutia watu kuvuta sigara. Na style waliojichagulia ndio hiyo. Wana pickup zimefunikwa nyuma kama zile za konyagi, nyeupe ila ubavuni kuna label ya tccl. Kama hupo makini hutoona
Rasilimali nyingine ya Taifa inahujumiwa. Walibinafsisha Sigara kwa wazungu halafu wahindi halafu wajapani sijui sasa hivi ni ya nani!wakwepa kodi halali wakubwa hawa kama kule kwenye mahoteli na sekta ya madini. Mulika mwizi men!!!
Wanatumia magali madogo ka pickup ila inatengenezewa body imala kwani nikama pesa vile na ulinzikmkali wa askali.
sasa hivi inamilikiwa na JAPAN TOBACCO INTERNATIONAL yenye makao makuu switzerland. Kampuni hii kwa Tz ndio huongoza kwa kulipa kodi, ikishuka sana namba 2 au 3