You can call me Harry Potter if you want. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

You can call me Harry Potter if you want.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Genderi, Oct 23, 2012.

 1. Genderi

  Genderi Senior Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siku ya Tarehe 10th October nilichangia mada ya hapo chini yenye wino mwekundu majuzi hapa tumeshuhudia machafuko na mauwaji pande zote mbilki za Mungano sasa kwa wale watu ambao bado ni (naive) waendele na kuamini Nchi ya Tanzania ni ya amani na upendo na watu wake wapole lakini wasiache kujikumbusha kuwa 2015 mauwaji ya halaiki hayaepukiki kwa kuzingatia kauli za walishika dola.


  10th October 2012 16:55
  #27 [​IMG] Member Array


  Join Date : 26th December 2011
  Posts : 47
  Rep Power : 353
  Likes Received9
  Likes Given0


  [h=2][​IMG] Re: Kuelekea 2015: Kiongozi UVCCM awataka vijana wavute bangi wawe kama wendawazimu...[/h]
  [​IMG] By Mohamedi Mtoi [​IMG]
  Wakisha vuta bangi nyingi na kujivua ufahamu wakishutka kutoka kwenye hang over zao za kibangibangi wanakuta watu wako uwanja wa taifa wanakula keki ya M4C


  Mkuu naimani umesikia vyombo vya mataifa makubwa kusikitishwa kwao na hali ya Utumiaji Unga Hapa zanzibar ,wale vijana wanakuwa breed kwa shuhuli malum na ndio mana kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya,ni mtaji ,wacha nikukumbushe Mzee wenu mmoja aliwahi kuwa waziri Mkuu ,alisibutu katika mkutano wake wa hadhara kuwambia Vijana pale Tanga wakati ule Rais wa Zanzibar alikuwa ni Salim Amour,vijana wa Tanga nendeni Zanzibar mkafanye fujokatika uchaguzi kule na serekali itakulindeni na vijana wa Tanga walitika wito huo, walifanya madhara mengi tulimuomba Mola dua moja tu itakapofika siku ya mwisho wa Uhai wake amteremshie kifo kibaya na kitakachokuwa na masikitiko katika kila pembe ya Dunia.na hilo sasa limesha ingia mrima huko 2015 tutashuhudia mauwaji ya mengi na makubwa hapa Tanzania na kama sio halaiki dalili ya mvuwa ni mawingu
  [​IMG] Edit Post [​IMG] Reply [​IMG] Reply With Quote [​IMG]
   
Loading...