BREAKING NEWS: Mwanajeshi wa kikosi cha Anga afariki mafunzoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BREAKING NEWS: Mwanajeshi wa kikosi cha Anga afariki mafunzoni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zuia Sayayi, Oct 23, 2012.

 1. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  BREAKING NEWS: Mwanajeshi wa Kikosi cha Anga Kapteni E.E Magushi amefariki baada yandege aliyokuwa akijifunzia kushindwa kuruka.

  Source: Eatv/twitter
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Pole kwake.
  Pole kwa familia yake.
  Pole kwa jeshi letu la ulinzi.
   
 3. paty

  paty JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,253
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  izi ndege za miaka ya sitini zinazorushwa mwaka 2012 ndo matokeo yake hayo
   
 4. Access Denied

  Access Denied JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Hivi ndege za kutoka kwny maghala tabu kweli.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  JF ndio BreakNewzer wewe,Ulikua Jela? Mbona hyo habari himo humu zaidi ya masaa manne?
   
 6. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa taarifa Pia pole ziwaendee JWTZ.ndugu wa marehemu na watanzania wote walioguswa na msiba huu
   
 7. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,301
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Kweli!
   
 8. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  poel nandhani serikali ichukue ndege za kisasa urusi na sio kununua
  ndege ya raisi kwa garama wakati ndege za jeshi ni za enzi ya mwalimu
   
Loading...