kumbe zile dawa fake za ARV, hazikutengenezwa Tanzania, tupate ukweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kumbe zile dawa fake za ARV, hazikutengenezwa Tanzania, tupate ukweli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Makene, Oct 22, 2012.

 1. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kwa mujibu wa taarifa ya habari redio crowds saa 12 jioni, kuna maneno yaliyosemwa bila shaka na mkurugenzi wa TPI, ya kwamba hapa tanzania hatuna kiwanda kinachotengeneza ARV.
  Swali je wakina nani walioingiza dawa hizo fake kwa package za TPI. Hii ni zaidi ya hujuma ni wizi, na ufisadi.
  Cha kushangaza mkurugenzi anasema waliofanya maloloso hayo wanajulikana.
  Serikari ya Mwinyi bado itoe majibu kabla ya kuwajibika.
   
 2. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Well said Madabida's spokesperson! It seems you are well paid!
   
 3. mooduke

  mooduke JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Tena watoe majibu yalio jitosheleza vinginevyo hapatoshi hapa....
   
 4. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ni vita ya kibiashara kati madabida na magamba wenzake.
   
 5. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wanachakachuwa hadi uji wa mugojwa
   
 6. P

  Peele Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anajitetea tu hamna lolote.
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Basi kama zimetengenezwa nje TFDA wana paswa kueleza zilipita vipi bila kuchunguzwa?

  Kweli hii ni nchi ya maajabu!
   
 8. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yani sijui tunaelekea wapi as a nation, mpaka watu wanauziana ARV feki!
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  CCM ni adui yetu namba moja, watu wake wanatuibia mchana kweupee
   
 10. K

  Kiboko ya washamba Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wabaya wako Mr Madabida tutakula nao saani moja
   
 11. K

  Kiswigo Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona inaeleweka kwamba hii ilikuwa silaha ya kampeni dhidi ya akina Madabida? Hutaisikia tena ikizungumzwa baada ya kumaliza harakati za uchaguzi!
   
 12. Fyong'oxi

  Fyong'oxi JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Madawa feki, madaktari feki, majaji feki na Wanasiasa feki = balaa tupu Tz
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hii habari ni fake
   
 14. P

  Peele Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa waheshimiwa (TPI) ndio waliokuwa na tenda ya ku supply madawa MSD. Hii ni tenda kubwa na muhimu kwa sekta ya afya. Sasa 1. Dawa zililetwa. 2. TPI walilipwa. 3. Baadhi ya dawa walizo supply zilikuwa feki!! Ni muhimu kujua kuwa u fake wa dawa hizi sio kuwa ni sumu, bali ni dawa A kufungwa kwenye pakiti ya dawa B. lakini dawa zote A na B ni ARV isipokuwa wagonjwa wamepatiwa dawa wasizohitaji, hivyo ni FEKI. Na pia dawa zote A na B zilikuwa supplied na supplier wengine na ZIPO MSD. Maswali ya kujiuliza 1. Je yeyote aliyefunga dawa hizi alizipata wapi?? 2. Alipata wapi vifungashio vya TPI ?? 3. Aliziingizaje MSD ?? 4. Alifanya hivyo kwa faida ipi?? Kwanini TPI walipokea malipo kwa dawa "wasizo supply" ?? Je TPI kwa wakati wote wamekuwa na uwezo (fedha , malighafi na uwezo wa kuzalisha) wa ku supply kwa mujibu wa mkataba ?? Isijekuwa walizidiwa na pesa wanaitaka wakacheza cheusi chekundu na store ya MSD ???
   
 15. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  haya tumekusikia, lakini kajipange tena uje na taarifa ya maana na iliyokamilika! hapo kwenye red pana mushkeli
   
 16. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,072
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kuna Mzimbabwe ananiambia na huko kwao kuna kashfa ya ARV fake.

  Kwa nyongeza tu katika taarifa za habari Afrika Kusini leo inasemekana wamefanikisha utafiti wao ili waweze kutengeneza kinga ya ngoma(vaccination). Natumaini hiyo ni habari njema ukizingatia ni huku huku Afrika
   
 17. p

  paudongo Member

  #17
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Swali kubwa hapo ni kujiuliza iweje delivery note iwe ni ya TPI na malipo yaende kwa mzalishaji ambaye ni TPI? Kuweni macho na wanasiasa wenye uchu wa pesa. Kina Madabida tambueni huu ndio mwisho wenu, acheni kutapa tapa. TFDA mbona mnachelewa kuburuta hawa mbuzi mahakamani? Au mnaogopa? Kina Madabida Yule kijana wenu mmemwambia akimbilie wapi Baada ya kufanya mchezo huo mchafu?
   
 18. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Rejea katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania, sura ya 512 kuhusu maana ya neno serikari.
   
Loading...