Watanzania tusiogope maana wokovu wa taifa hili upo karibu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tusiogope maana wokovu wa taifa hili upo karibu...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TumainiEl, Oct 24, 2012.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,891
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Ndugu watanzania najuwa nikiasi gan mambo yametufika shingoni na kwakwel kufika 2015 ni kama tunaona msamiati vile taifa limeyumba, ajira hakuna, huduma za serikal mbaya, vijembe kila mahali waadilifu ni wasaliti, yani nikama tupo Icu tukipambana na roho isitoke. LAKINI NATAKA KUSEMA EWE KIJANA CHANGAMKA MAANA HAYA TUYAONAYO SASA YATAKUWA HISTOR NA WANA NCHI TUTACHUKUA HATAM. NI MUNGU YULE YULE JANA NA LEO NA HATA MILELE ATATUPA VIONGOZ BORA NA SIO BORA VIONGOZ
   
Loading...