Imenilazimu nipitie tena CV ya MULUGO

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
<font color="#000000"><span style="font-family: Lucida Grande"><strong>
Nimelazimia kuiangalia vizuri cv yake kama kweli alimaanisha.


MEMBER OF PARLIAMENT CV


GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1645.jpg
First Name:Philipo
Middle Name:Augustino
Last Name:Mulugo
Member Type:Constituency Member
Constituent:Songwe
Political Party:CCM
Office Location:P.O. Box 9121, Dar Es Salaam
Office Phone:+255 754 315 922/+255 784 315 922
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:pmulugo@parliament.go.tz
Member Status:Current Member
Date of Birth27 January 1972
EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Rukwa Primary School, ChungaPrimary Education19821989PRIMARY
Mbeya Secondary SchoolO-Level Education19901993SECONDARY
Songea Boys' High SchoolA-Level Education19941996HIGH SCHOOL
Open University of TanzaniaBA (Economics Education )20022008GRADUATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFrom DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Songwe Constituency20102015
Southern Highland Secondary SchoolSchool Managing Director20082010
Southern Highland Secondary SchoolAdministrative & Personnel Officer20052010
Southern Highland Secondary SchoolTeacher20002004
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National Executive Committee2008
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary General - Mbeya Region (Parents)2008
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - Chunya District Political Committee2007











 
Last edited by a moderator:
wabongo kwa kufuatilia mambo ya watu hamjambo...inatosha mwacheni baba wa watu aendelee kulitumikia taifa lake
 
Kwa mtazamo huu utazipitia za wengi sana waliopo kwenye cabinet. Haya ndiyo madhara ya serikali ya kishkaji.
 
Sasa ifike mahala tuweke vigezo vya kuwa waziri zaidi ya kuwa mbunge. hasa elimu itiliwe mkazo na raisi asipewe tu majina na kuyatangaza... wahusika mnaofanya screening ya nani awe wapi mna dalili zote za ufisadi na kupendeleana. je huyu Mh MULUGO NI Jamaa yake na JK? au Raisi alipigwa changa la macho alivyopewa koroma akafikiri nazi nzuri na kututangazia kuwa amepata waziri mahiri? Naomba JK afahaishwe juu ya huyu naibu waziri!
 
Hii ni kali Zimbabwe na Pemba anyway twaweza sema ulimi uliteleza lakini mbona mambo aliyokuwa nayaomgea hayaendani na maudhui ya hiyopresentation? i wonder kama litengenezewa au aliiandaa yeye mwenyewe. Aaaaa ngoja niyaache tu hawa ndio mawaziri ambao Mh. Kikwete kaona na kujiaminisha watatupatia maisha bora watanzania.
 
nahisi speech yake imeingiliwa na virus, wakatafuna na ku-edit baadhi ya maneno.
Haiwezekani visiwa vya Zimbabwe.
 
Nina wasiwasi na hiyo BA ya Open University of Tanzania. Hajapewa kiushikaji na Mbwette??
 
Nimeona sana aibu nlipohadithiwa na colleague wangu. Sitamani hata kuitazama video. mtotowamjini, si sahihi kusema tumuache 'mbaba wa watu', unless kama ni baba yako. Ametuchafua, kama yeye ndo anahusika na elimu yuko hv, hushangai matokeo yake vitoto havijui a wala b. Afu akipita mtaani watu mnatetemeka kumuita mheshimiwa. To me, **** is still **** - regardless.
 
Last edited by a moderator:
Huyu hata sura inaonyesha ni kilaza! Zimbabwe ni landlocked visiwa vitoke wapi?
 
ni makosa ya kibinadamu hasa concentration inapokosekana.nina uhakika hakutaka kumaanisha ZIMBABWE.ingawa hata angesema unguja na zanzibar angekuwa amekosea.hakuwa na focus!!
 
ni makosa ya kibinadamu hasa concentration inapokosekana.nina uhakika hakutaka kumaanisha ZIMBABWE.ingawa hata angesema unguja na zanzibar angekuwa amekosea.hakuwa na focus!!
Ni kweli,hata kama angesema Pemba na Zanzibar bado ni makosa.
 
ni makosa ya kibinadamu hasa concentration inapokosekana.nina uhakika hakutaka kumaanisha ZIMBABWE.ingawa hata angesema unguja na zanzibar angekuwa amekosea.hakuwa na focus!!

Haya ya kuhalalisha upumbavu eti 'makosa ya kibinadamu' ndo yametufikisha hapa! Wezi wanaiba mali za umma wanabembelezwa kurejesha mali walizoiba. Kwa kushindwa concentration au kukosa focus kama ulivyobaini katika mkutano kama huo na kwa wadhifa alionao hiyo ni sababu tosha kabisa kwamba hafai kuwa hata mkurugenzi wa idara yo yote ile. Mimi nilikiri angekuwa amejiuzulu wakati huu.
 
mi sielewi mnajadili nini kwani huyu naibu waziri jina analotumia sio lake na mambo yake yalishaanikwa kuwa alitumia cheti cha rafiki yake ambaye alipeform vizuri walipomaliza high school songea boys hii nchi imeshaharibika
 
Mob a JK Alissa Madame chairmen kwenye conference ubelgiji...wa dozen hawa walk hakuna issue halo ni upepo tu huo
 
Back
Top Bottom