Wanaohitaji PlayStation2 Games - Decks

C.K

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
394
162
Hello..!

Kwa anayehitaji PlayStation 2 - Games Decks kwa ajili ya biashara ya kuchezesha games au kwa matumizi ya nyumbani zinapatikana kwa bei nafuu. Zimetumika kidogo so bei yake ni cheap ukilinganisha na dukani. Ukitaka complete set (yaani PS2 deck, TV Screen na pad zake) bei itakuwa chini zaidi. Wahi kwani zipo chache. Mawasiliano - simu 0758 397557, 0718 174 415. Ninapatikana Kinondoni, Mkwajuni/Studio.
 
Hello..!

Kwa anayehitaji PlayStation 2 - Games Decks kwa ajili ya biashara ya kuchezesha games au kwa matumizi ya nyumbani zinapatikana kwa bei nafuu. Zimetumika kidogo so bei yake ni cheap ukilinganisha na dukani. Ukitaka complete set (yaani PS2 deck, TV Screen na pad zake) bei itakuwa chini zaidi. Wahi kwani zipo chache. Mawasiliano - simu 0758 397557, 0718 174 415.


weka bei mkuu,
 
Back
Top Bottom