Jk ndan ya jiji la arusha mchana kweupee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk ndan ya jiji la arusha mchana kweupee

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ANKOJEI, Oct 30, 2012.

 1. ANKOJEI

  ANKOJEI JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 693
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Haya tena kila uchao raman ya kisiasa inabadilika. JK atakuwa arusha kuzindua jij la Arusha. Nan anasema jk anawaogopa wa Arusha?
  Source mnara wa mwenge unapigwa rang na majukwaa yanajengwa.
   
 2. mozes

  mozes Senior Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Acha umbea w2 wa Arusha sio wagomv kihvyo
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 9,210
  Likes Received: 4,104
  Trophy Points: 280
  Na Lema atakuwepo na wataonana pale...tunasubiri kwa hamu sana uchaguzi wa marudio tuone nguvu ya CCM/EL na Mtandao kama watalikomboa jimbo nyeti lile
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,956
  Likes Received: 367
  Trophy Points: 180
  Tunamkaribisha kwa ushindi wa chadema daraja mbili!
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Usiogope tutakuletea na picha ya tukio zima, ili ufurahi zaidi.
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,956
  Likes Received: 367
  Trophy Points: 180
  Arusha ni hot cake mazee lakini wataimezea mate weee, halafu badaye watakiri Lema ni mchawi!
  Chezea chadema wewe!
   
 7. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,811
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  26% ya watu wa Arusha hawajui kusoma wala kuandika - ITV


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,956
  Likes Received: 367
  Trophy Points: 180
  Halafu Jf hakuna kuchuja taarifa, manake akiongea uharo tunaurusha kama ulivyo
   
 9. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Baba Kikwete karibu Arusha. Sisi wote ni watiifu kwako mioyoni mwetu ila ni watukutu midomoni mwetu. Baba tunaishi kwa kufanya hivyo, tukikupongeza hadharani tutakosa riziki. Wapinzani hatukupingi, tunakubali utendaji wako.
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,189
  Likes Received: 4,543
  Trophy Points: 280
  Lema hawezi hata kumsogelea JK hana cheo chochote Arusha.
   
 11. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,582
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  ni upepo tu.....litapita hilo swala
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,956
  Likes Received: 367
  Trophy Points: 180
  ndo maana tukienda kupiga kura tunapiga kwenye bendera ya chama badala ya kwenye kiboksi.
  Chezea watu wa Arusha wewee. Tunajua chadema ni vidole viwili na sisiemu ni jembe na nyundo.
   
 13. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,499
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  Wow!Ni furaha kubwa kufahamu kwamba more than 50% wanajua!!Tutahakikisha hao 26% wanajua kusoma na kuandika baada ya uchaguzi 2015!!
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,956
  Likes Received: 367
  Trophy Points: 180
  Jk anamheshimu Lema..........wanasema Lema ni Isiraeli mtoa roho ya ccm
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,717
  Trophy Points: 280
  hatujui kusoma....sawa.....upo sahihi.......lakini tunatambua haki na tunajua ukweli ulipo........heri yenu kwenu kule Msoga wote mna PHD na maisha bora kwa kila mtu......
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,717
  Trophy Points: 280
  halafu kamanda pole kwa kazi.......hatujapongezana ujue.........
   
 17. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,491
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Fkn childish.
   
 18. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 12,652
  Likes Received: 4,072
  Trophy Points: 280
  mmh!huu sasa uchokozi,ngoja wenywe waje.
   
 19. D

  Derimto JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135

  Halafu selaa huyu mdafanga niajeniaje arifu? anataka kuleta zipi tena sistaa? mbona masela wa ngalimii wakiamua wanaweza kwenda mpaka magogoni?
   
 20. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,717
  Trophy Points: 280
  oi oi oi....niaje man....long time kichizi....nini mbaya arifu.....?
   
Loading...