Boda boda wa DODOMA nawapa tano

ligendayika

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,183
198
Nipo dodoma hapa mjini kwa wiki sasa nimependa jinsi hawa waendesha pikipiki walivyo wastaarabu kwa wateja wao na huu mtindo wa kuvaa kofia mteja na dereva. mikoa mingine ifuate utaratibu huu.
 
Kuna RPC anaitwa Zelothe Stephen hapo mpe hi huyo mmasai! Alivyohamia hapo miaka kadhaa iliyopita ndo alikomaa nao wawe na helmet mbili na walikua wanamchukia kweli kweli. Nadhani wamezoea sasa
 
Juzi nilipanda boda saa 11 alfajili, lakini bado nilivalishwa kofia, kweli kama Dom inawezekana, pote pia ni jambo la kuamua tu, big up Zelote.
 
Kuwa muangalifu na Magonjwa ya ngozi, na wadudu kama chawa,viroboto, kunguni
 
kumbe unapanda bodaboda mpaka leo kwikwikwiwkwi unakuja jisifia huku kwa upandaji bodaboda kwiwkwiwkwiwkwiwkwi wenzio sikuhizi wanatumia ungo na mafisi ati usafiri fasta na wakistaarabu
 
Back
Top Bottom