Nikweli tiketi za Treni zilikwisha au hujuma za kibongo kama inavyotokea uwanja wa taifa?

mukandarasi

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
932
275
Inatia shaka kuanza kusikia kuwa umetokea uhaba wa tiketi katika treni iliyo anza kazi juzi! Kisha nauli kukusanywa kwa mtindo wa daladala.Kwahali ninashaka sana na wajanja wachache wanoweza kuitengeneza hali ya upungufu wa tiketi kwa faida yao.Nasema hivyo kwa uzoefu wangu uwanja wa taifa,pia tusisahau hali ilivyokuwa Feri kabla Mh,Magufuli hajingilia upande wa mapato na kuweka sawa.Sijui wana JF mnasemaje kwa uzoefu wenu?
 
Back
Top Bottom