Huu ni udhaifu mkubwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ni udhaifu mkubwa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tope, Oct 30, 2012.

 1. Tope

  Tope Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Kwa muda sasa kumekuwepo na udhaifu na uzembe wa hali ya juu kwa viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Mkinga Mkoa wa Tanga ambapo wameshindwa kutoa mshahara kwa wakati na badala yake wamekuwa wakilipa mishahara tarehe nne au tano bila kutoa maelezo yeyote. Huu ni udhaifu mkubwa na niuvunjaji mkubwa wa mikataba na waajiriwa kwani unapokwenda kinyume na mkataba ambapo mkataba unasema mwajiriwa atapokea mshahara kila mwisho wa mwezi na si mwanzo wa mwezi
   
 2. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Pole sana Comrade, bado hawaja kulipa mshahara hadi leo hii? Kuna tatizo si bure
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  We Tope you are less knowledgeable if not informed! Mkinga hawana mamlaka na hela. Ni system ya JK ambayo ni wrotten. Mkinga wanategemea hazina, kama hazina hawatoi Mkinga wapate wapi. Tafakari, chukua hatua!
   
Loading...