Kuwa Degree Serikalini Kazini Haina Thamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwa Degree Serikalini Kazini Haina Thamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Inanambo, Oct 28, 2012.

 1. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,865
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  Wanajf tulidai Salary. Vyeo vipande tukaambiwa tukasome Tumeenda University tumepanda Kielimu kurudi kazini hakuna changes huu ni mwaka wa tatu. La ajabu wapo wenye Certifiate za 6months na uzoefu wa kazi ndio Meneja na wana mishahara minono. Haingii akilini mtu hana Digrii serikalini analipwa 3m,4m 5m 6m 7m 8m plus umeme, fuel, vocha na kodi ya nyumba japo anamiliki yake. Nashindwa kuelewa Utumishi wanawezaje kuridhia tofauti hii kwa pesa ya Serikali kuchotewa watu fulan nyingi na Wengine kiduchu. Mfano huu upo TPA. TRA na TanRoads kwa Staili hakuna haja ya kujipatia Digrii huku tukichekwa na Wenye Mishahara minono wasio na Digrii.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ndo maana wizi unakithiri, thamani ya elimu haipokabisa
   
 3. mtumishidc

  mtumishidc JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 489
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  unaweza ukawa na digrii lakini usijue kuitumia, itumie kuleta tija na ufanisi kazini uoneshe tofauti kati yako na mwenye cheti kiutendaji kisha uone matokeo yake!
  sie wenzako huku tuna vidigrii mishahara yetu haizidi sh laki sita kwa mwezi, tumetulia tu ka mazuzu kumbe huko wenzetu wana neema ya ajabu hebe jaribu kuwapangua kwa staili hiyo ikishindikana rudi tena jamvini tuangalie namna ya kuwapandia hukohuko!
   
 4. mtumishidc

  mtumishidc JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 489
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  sa kwa walimu shule za kata wenye vidigrii wataiba nini chaki?
   
 5. 1000 digits

  1000 digits JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 2,759
  Likes Received: 1,298
  Trophy Points: 280
  Tukitegemea wenye digirii wafikirie zaidi kujiajiri lakini kumbe wanatamani mishahara minono. Hulku wamachinga akianza na bishara kwa mtaji wa sh.10000 na wanafanikiwa! Certificate na digri zinazidiana kulingana na aina ya kazi. Sas kama anahitajika fundi wa umeme yuke mwenye digri ya mambo ya umeme ataachwa kwn atakua hana tija.
   
 6. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  kwani lazima ufanye kazi serikalini . pia unaweza kujiajiri ukiona mambo hayaendi. harafu vijana wa siku hizi mna tamaa sana . yaani ki degree chako ulichokipata juzi tu unataka uwe tajiri na mshahara mnono . acha ubinafsi . hebu fikiria na wenzako wenye degree wanaofanyakazi kwenye makampuni ya wahindi na wengine hawajapata kazi hadi leo. si bora wewe una uhakika wa ajira ya kudumu.
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  eeh yaani usizungumzie kufanya kazi kwa wahindi maana ni bora ukae pale kariakoo uuze mitumba kuliko kufanya kazi kwa mhindi....
   
 8. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Labda kwa shule za vijijini ila kwa shule za nmjini wengi wao huwa hawakai maofisini full kupiga part time shule za private na wengine ni hadi ma headmaster katika hizo private schools na ili hali bado wapo serikalini!! huu ni wizi mwingine katika level ya shule(elimu) ambao mwisho wa siku anaeumizwa zaidi ni mwananchi mlala hoi!!! wizi kila sehemu
   
 9. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jaman ajira ni tatizo sugu ni zaid ya bomu.
   
 10. n

  ng'ambakwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45

  Ndiyo maana wenzio tulisoma tukiwa wadogo, hizo za open university na vyuo vingine vyaa ajabu ajabu ni kuboresha elimu yako ya kidato cha sita tuu, maana ulifanya mtihani wa kuchagua majibu na si kukokotoa
   
 11. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Kweli mdau hapo umenena kwani mabadiliko huwa hayaji mara moja, hata hao anaosema wana certificate huwezi kuwaondoa mara moja kwani pamoja na elimu yao walikuwa na mchango kwa hizo taasisi hivyo kinachotakiwa ni kuonyesha performance yako ili udhihirishe uwezo wako wa kazi mwisho wa siku utapanda. Ukisema tu mie nina degree basi hawa niliowakuta wana certificate waondoke mara moja sidhani kama kazi itafanyika maana hata yule mwenye degree anaetaka kuwaondoa hao kabla alikuwa anafanya bila degree.

  Kitu cha kwanza ukiwa na elimu kubwa kuliko uliowakuta ni kujitahidi kusoma mazingira pia kujifunza based na uzoefu wao wa kazi hata kama umewazidi elimu kwani tunachosoma chuoni si kile ambacho tunakitumia mara nyingi kwa baadhi ya kazi na ndio maana inahitaji muda kidogo kuzoea mazingira ya kazi kabla ya kuanza kulalamikia vyeo na ndio maana walio sekta binafsi unakuta mkurugenzi ana degree na waliochini yake wamemzidi lakini kwa kuwa kuna sera madhubuti ya namna ya kufanya kazi unakuta malalamiko hakuna kwani kinachokuuza ni CV yako na uwezo wako kiutendaji. (ili upande onyesha kwamba unaweza) Tatizo staff wengi hasa serikalini focus yao ni vyeo na si utendaji na ukiona mtu kaenda kusoma ujue kichwani anawaza kuongezwa cheo na mshahara alafu performance ya kazi inakuja mwishoni kabisa (wakati vinatakiwa viende kwa pamoja)
   
 12. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,865
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  Elimu haina Mwisho. Mimi nimesoma nadharia na vitendo tena nje ya nchi kwenye Chuo chenye Charter za Kimataifa. Nilipata Sponsorship ya DAAD.
   
 13. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,865
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni kwamba Thamani ya Elimu ya Juu kwa mfanyakazi wa serikali haionekani ikiwa wapo wasiokuwa na Elimu ya juu wanalipwa Vizuri na wana Vyeo Vikubwa . Sikatai kuwa Perfomance zao ni nzuri ila Thamani na Tofauti ya Elimu inaonekana wapi ili na wengine nao Wavutiwe Kujiendeleza?
   
 14. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  degree ni karatasi tu,ni mbwembwe,kuna ma-profesa koko wengi sana hapa nchini,so bookish and they cant practice what they know...mimi naona kama mtu anafahamu kitu zaidi na anaweza ku-influence maendeleo katika kazi anayoifanya,basi apewe mshahara zaidi.......elimu ni kigezo kimoja tu wanachoangalia ili kukuongezea mshahara,kuna factor zingine nyingi kama discipline,historia yako,attitude ya kazi
   
 15. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Hii ndio Tanzania yetu japokuwa kuwaondoa hao wasio na elimu ya juu nayo ni kazi kwa kuwa kwa utaratibu wa kazi mshahara huwa haushuki hata kama cheo kitashushwa (hao ni kuwaondoa kidogokidogo kwani wengi wao ni above 50years na wamekaribia kustaafu maana zamani hao ndio waliokuwa mabingwa wetu na ukiwatoa ghafla kazi lazima iharibike wataficha madesa au watafanya kazi kwa kinyongo), kinachotakiwa hawa walio na elimu ya juu ni kuwaangalia ili angalau wawe na kiwango cha mshahara kizuri ili iwe kama motisha lakini pia usikate tamaa piga kazi bila kinyongo kwani kama ukishirikiana nao vizuri lazima kuna maeneo wataonekana wamepwaya watakuwa wanakushirikisha na mwisho wa siku utatoka tu.

  Lakini serikali mwaka 2007 si ilipitisha waraka watumishi hasa wasio na elimu ya kidato cha nne kutokupandishwa madaraja kama wasipojiendeleza, kuna haja hata kwa baadhi ya post kuweka waraka ili uwe na cheo flani unatakiwa uwe na elimu flani na kama usipofikia hiyo elimu basi hutopanda grade mpaka utakapojiendeleza though cheo chako kinaendelea kuwepo.

  Ikishindikana unaangalia sehemu zingine kwani si lazima ufanye kazi serikalini though huku sekta binafsi tuliyopo sie unatakiwa uwe risk taker kama hivi sasa nafikiri unasikia mjadala wa hakuna fao la kujitoa unaendelea (hii ndio changamoto unapiga kazi kwa contract ya miaka miwili mitatu ikiisha kama hakuna mkataba mwingine unatafuta kwingine ukikosa unakimbilia fao la kujitoa ambalo limefutwa)
   
 16. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,812
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Politics threw merit out of the window. Its whom you know not what you know that counts.
   
 17. C

  Cape city Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Research zenyewe za 'kukopi na kupesti'....unataka mshahara mnono within a short time since umeanza kazi!!! Come on guyz tujifunze kuperform vzr makazini...hizo shahada makaratasi tu, onyesha uwezo kwanza!
   
 18. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  "Degree yako ya Open university, Research ya kukopi na kupest".......i. Kweli JF wanajua kusagia wengine -mpaka wanakosa raha.
   
Loading...