Msaada wa namba za simu za mkononi za viongozi hawa.

Daudjuma

Senior Member
May 31, 2011
104
98
Waungwana naomba mnisaidie kupata namba za simu za mkononi za viongozi hawa wafuatao:
1.Waziri---Celine Kombani.
2.Waziri---Philipo Mulugo.
3.Katibu mkuu na Naibu katibu mkuu TAMISEMI.
Sababu za kumba no.hizi ni pale ninapopiga simu za ofisi wahudumu hudai viongozi hao hawapo ofisini ili-hali nina shida kubwa za kiofisi.Wana JF nisaidieni msinipuuze kwani hapa nilipo niko TARIME,na gharama ya kunifikisha DSM na DDM sina,kwani mimi ni mtumishi wa kada ya chini(mwalimu).ASANTENI.
 
Namba zao zipo kwenye website ya Bunge utaziona na ziko active. Mie kuna kipindi nilikuwa nina shida na mbunge mmoja, nikatumia website ya bunge kwenye profile zao nikawasiliana nae bila wasiwasi. Ebu jaribu. Celine Kombani ; 0787330211
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom