Aliyemshitaki DC wa Korogwe ahamishiwa Nzega | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyemshitaki DC wa Korogwe ahamishiwa Nzega

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bhikola, Oct 30, 2012.

 1. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  MWANASHERIA wa Manispaaa ya Korogwe, mkoani Tanga, Najum Tekka ambaye amemshitaki Mkuu wa Wilaya hiyo Mrisho Gambo, ‘amepigwa transifa’ (kuhamishwa) na kupelekwa wilayani Nzenga, Tabora,

  Source; Uwazi
   
 2. k

  kinenekejo Senior Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hata kama ni kweli, ila hapo kwenye red, hiyo sio best reference material kwa Great thinker.
   
 3. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Confirmed!, ila Krogwe haijawa manispaa.
   
 4. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ili anyimwe ruhusa ya kuhudhuria mahakamani na kesi ifutwe?????
   
 5. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Ni kweli the reference mhh....

  Btw:I hope mtoto wa kigogo hajaingilia
   
 6. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  DC gambo kawadhalilisha wanawake kwa ujumla! kumwambia mwanamke ana "degree ya chupi" ni tusi sio tu kwa najum bali kwa wanawake wote nchini!
  Pius msekwa alipokuwa spika alishawahi kuomba radhi kwa kauli yake ya "wivu wa kike"
   
 7. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Hiyo haifuti kesi.
   
 8. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Btw:I hope mtoto wa kigogo hajaingilia....[/QUOTE]

  kazma kaingilia hapo si unajua nchi iko kisultani zaidi.
   
 9. J

  JokaKuu Platinum Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,769
  Likes Received: 4,982
  Trophy Points: 280
  ..Mrisho Gambo alitakiwa atimuliwe kazi mara moja.
   
 10. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hakuna kesi tena na Digiliiiii ya chupi na Dc kashinda alichokisema
   
 11. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hapana anahamishwa kupisha uchunguzi!
   
 12. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Mchunguzi nani sasa?? si wamhamishe na DC basi:whistle:
   
 13. Shibalanga

  Shibalanga Senior Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kama kijana najisikia vibaya sana ikiwa muda mwingi tulikuwa tukipiga kelele vijana tupewe nafasi na madalaka serikalini tuweze kuonyesha njia kwa Tanzania mpya tuitakayo! lakini kama mambo ndo hayo ya kina Mrisho Gambo ni aibu tupu kwa vijana wa Taifa hili.
   
 14. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,825
  Likes Received: 924
  Trophy Points: 280
  Nchi imeoza hii....
   
 15. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kesi imekwisha... Kweli nimeamini degree ilikuwa ya chupi...
   
 16. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Kiutendaji, lazima ahamishwe (separated from his Boss) kisheria Mkuu wa Wilaya alitakiwa asimamishwe kazi. I hate serikali ya CCM
   
 17. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Aibu kwa aliyemteua pia, kilaza hueteua kilaza
   
 18. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Ni halmashauri ya mji! Town council
   
 19. m

  msemakwelii JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 217
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi Yetu inaendeshwa ki Magumashi saana, C unajua ukijifanya wee mjanja na unapenda haki lazima wakutupie K paja la kuku, waone kama utakula tu, then bata unaongezewa na kakonyagi kinachofuata ni usingiziiiii , ,,,, No Complain any More, Jamaa kesha kula Kamilioni ka Uhamisho na Disturbance allowance sasa , nini atapiga kelele tena, na Huko kapewa U bwana msimamizi, Kwishineeeeee
   
 20. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Mrisho si mwana mtandao wa Riz1 na pia yumo kwenye zamu yao sasa....waachwe waendeshe nchi watakavyo!!
   
Loading...