Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habar wana bodi naombeni ushauri ndugu zangu kila siku watu wanakuja kunikopa pesa sijui wananiona au wanaenda kupigiana stor leo yenyewe kiasi ya watu 5 wamekuja wakitaka niwakopeshe pesa wa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Baada ya kuleta Ndege nyingine Crj next generation 900 Oct 2012 Naona sasa Kampuni ya ndege ya Rwandair inaongeza tena ndege nyingine tar 5 Nov 2012 nasasa kuwa na ndege 7 za kwao Tunawatakia...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
A Tanzanian national arrested at Los Angeles International Airport earlier this month pleaded not guilty Tuesday to attempting to smuggle almost two pounds of heroin into the United States hidden...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Kwa katiba yetu hiii mpya, ningependekeza kuwa na kipengele cha kunyongwa marais, mawaziri, makatibu wakuu, mameneja kwenye taasisi za serikali, na wabunge mara wakibainika na wizi madarakani ama...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
  • Closed
Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, yuko mbioni kuachiwa kwa dhamana muda wowote kuanzia sasa.Taarifa zilizonifikia toka vyanzo vyangu vya uhakika vya Polisi,Usalama...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Serikali kupitia taarifa ya habari kwa vyombo mbalimbali leo imesema hakuna upungufu wa mafuta nchini mwetu,na kutoa agizo kwa mamlaka zinazohusika kufuatilia suala hilo kwa makini zaidi na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
asalam alekum ndugu zangu waisilamu....... nimesikia kesho na kesho kutwaa tunatakiwa tunaandamane......wenye details kuhusu maandamano haya: 1.yataanzia wapi kuelekea wapi...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Siku ya leo ya jumatano ndio siku rasmi ya uchaguzi wa jumuiya ya wazazi(CCM) taifa. Watu wengi wanafuatilia kwa hamu kubwa mwenendo na matokeo ya uchaguzi huo kwa karibu katika nafasi za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nafikiri mumenielewa chadema.... Huo ndo muondo wenu wa chama kwa hiyo kamwe hamtaweza ongoza nchi hii kwa sanduku la kura kwa muundo huo....tofauti na ccm .
1 Reactions
18 Replies
2K Views
.... It was about 12.00 noon, which is supposed to be lunch hour, when about five, charming armed robbers, visited one of the banks in Arusha town. The smiling thugs greeted every customer with...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wed Oct 31, 2012 1:15pm GMT Print | Single Page [-] Text [+] * Three suspects arrested, two of them Kenyans * Poaching seen on the rise in Tanzania DAR ES SALAAM Oct 31 (Reuters) - Tanzanian...
0 Reactions
1 Replies
812 Views
nimeskia tetesi za hapa na pale ooo ijumaa ijumaaa hivi ni nani ana jukumu la kulinda amani na je Katiba inasemaje kuhusu iliii. je ni polisi, jeshi au wananchi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana jioni nikaona si vibaya na mimi nikajisogeza kunako Stesheni nijionee hali halisi na jinsi ambavyo treni yetu imeweza kw akiasi kikubwa kutatua tatizo la usafiri. mnamo saa 1 kamili ya jioni...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Nimepita kibanda cha magazeti, nikakuta kuna jamaa kanunua Gazeti la Uhuru, katoa buku, akashtuka kurejeshewa sh 300! Kwanza nikastaajabu kuona mtu anatoa pesa kununua gazeti hilo, lkn mshangao...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
jumapili iliyopita nilikuwa kanisani katika wilaya ya manyoni katika kata ya mitundu,wakati ibada inaendelea inaendelea mara ikaja land cruiser iliyobeba wachungaji wa 3 wa makanisa ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo mida ya saa 11 kasoro nilikuwa kwenye daladala kutoka Mwenge kuja Posta. Katika mazungumzo ya hapa na pale alikuwepo askari wa JWTZ akadai kwamba wanawake na wanaume wako sawa. Ila kuna mambo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini ameiagiza EWURA kuchukua hatua dhidi ya wauza mafuta wanaofanya mgomo baridi. Hivi kila mara hii EWURA mpaka ikumbushwe wajibu wake, kuna nini huko?
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Morris Gad, the World largest buyer of Tanzanite gemstone and Chairman and CEO of Diamonds International, plans a major foray into the gemstone industry in Tanzania in the near future. Gad, the...
0 Reactions
1 Replies
880 Views
The World Bank Board of Executive Directors has approved an International Development Association (IDA) credit of USD255 million for new initiative to improve financial management performance of...
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Hii ni mara ya kumi ss unawaka unazima unawaka unazima kama kuna tatizo ni bora mkazima moja kwa moja ili mpate fulsa ya kurekebisha!tofauti na hapo mtatuletea matatizo ya kutuunguzia vitu na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom