Hahahaa GAZETI BORA LA MWANANCHI

Honey K

JF-Expert Member
Sep 14, 2008
629
72
Gazeti la Mwananchi limepigwa marufuku kuandika mazuri ya CCM, maana leo CCM imeshinda kata 22, wameshindwa kusema hilo badala yake wanaandika CCM IMEPOTEZA VITI VINNE.....tatizo la akili ya kushikiwa........KAMA AMBAVYO VI CDM VITAKAVYOKUJA KUPAMBANA HAPA KUISHAMBULIA THREAD HII....MOODS MSIIUNGANISHE POPOTE TUONGEE KWA UHURU....
 
hata m nlivyoona mara ya kwanza nkadhani ni kinyume ila kwa kuwa tunaelekea kwenye mabadiliko si haba kwa kupeteza
 
Kwani ni uongo MAGAMBA si kweli yamepoteza viti vinne ulitaka watoke na kichwa kipi cha habari.
 
Hivi ukiwa ni yule mtu wa mwaka 47 ukawa na watoto 26 wakafa 4 ghafla unajipongeza kwa kufiwa au kwa kubaki na hao 22
 
Si bure either umetumwa na wamagamba au umeamka na 'hangover'

hapana, let us be objective, he has a point!Sio hangover, anasema ukweli ulio wazi. This type of reporting is not that much welcome. mimi naipenda CDM (sio mwanachama) lakini mwananchi inaonyesha bias ya hali ya juu, which is not a good reputation for a respectable newspaper like Mwananchi!
 
Gazeti la Mwananchi limepigwa marufuku kuandika mazuri ya CCM, maana leo CCM imeshinda kata 22, wameshindwa kusema hilo badala yake wanaandika CCM IMEPOTEZA VITI VINNE.....tatizo la akili ya kushikiwa........KAMA AMBAVYO VI CDM VITAKAVYOKUJA KUPAMBANA HAPA KUISHAMBULIA THREAD HII....MOODS MSIIUNGANISHE POPOTE TUONGEE KWA UHURU....
Nadhani hapo ndipo akili yako ilipogoti. Uandishi wa habari ni taaluma yenye ethics zake. Wewe kwa akili yako unadhani hiyo ndiyo ingekuwa habari lakini habari ni hiyo iliyoandikwa na gazeti la Mwananchi. Kwa ujumla, ccm ndiyo iliyoshindwa uchaguzi maana imenyang'anywa baadhi ya kata na mpinzani wake mkuu chama tawala kijacho cha cdm. Na katika hili nitawashangaa sana wanachama wa ccm kama watashangilia.
 
CDM baadaeee sanaaaaa....
 
Gazeti la Mwananchi limepigwa marufuku kuandika mazuri ya CCM, maana leo CCM imeshinda kata 22, wameshindwa kusema hilo badala yake wanaandika CCM IMEPOTEZA VITI VINNE.....tatizo la akili ya kushikiwa........KAMA AMBAVYO VI CDM VITAKAVYOKUJA KUPAMBANA HAPA KUISHAMBULIA THREAD HII....MOODS MSIIUNGANISHE POPOTE TUONGEE KWA UHURU....

Binafsi sijakusoma, ngoja nipite tu...
 
Gazeti la Mwananchi limepigwa marufuku kuandika mazuri ya CCM, maana leo CCM imeshinda kata 22, wameshindwa kusema hilo badala yake wanaandika CCM IMEPOTEZA VITI VINNE.....tatizo la akili ya kushikiwa........KAMA AMBAVYO VI CDM VITAKAVYOKUJA KUPAMBANA HAPA KUISHAMBULIA THREAD HII....MOODS MSIIUNGANISHE POPOTE TUONGEE KWA UHURU....

Kawaida mfa maji haachi kutapatapa, kama ulivyosema, Subiri uone CDM wanavyokuja kutapatapa katika thread hii. Karibuni wana wa Helikopta ila msitukane tu kama mlivyozoea maana mtaongeza aibu kwenye viti vyenu 5. Mimi naanza kama ifuatavyo: Mnaonaje Katibu Mkuu wa CDM akijiuzulu kwa vile takribani kata zote alizopita amelazwa chali.
 
Gazeti la Mwananchi limepigwa marufuku kuandika mazuri ya CCM, maana leo CCM imeshinda kata 22, wameshindwa kusema hilo badala yake wanaandika CCM IMEPOTEZA VITI VINNE.....tatizo la akili ya kushikiwa........KAMA AMBAVYO VI CDM VITAKAVYOKUJA KUPAMBANA HAPA KUISHAMBULIA THREAD HII....MOODS MSIIUNGANISHE POPOTE TUONGEE KWA UHURU....

Akili za kushikiliwa na gundi ya maji tabu sana.....Kabla ya hapo walikuwa na wakishikilia viti vingapi? na jee, baada ya uchaguzi wamepata vitivipya vingapi...i mean CCM na CDM...

Na kama Mwananchi linakukera si mnalo gazeti la wafu uhuru?? Jana si liliandika pia kuwa Nassari (MB) alifyatua risasi daraja mbili??si ndizo habari mnazozitaka? Hujalazimishwa kusoma mwananchi kwani wananchi tupo na tutalisoma hata kama mafisadi hampendi.
 
Gazeti la Mwananchi limepigwa marufuku kuandika mazuri ya CCM, maana leo CCM imeshinda kata 22, wameshindwa kusema hilo badala yake wanaandika CCM IMEPOTEZA VITI VINNE.....tatizo la akili ya kushikiwa........KAMA AMBAVYO VI CDM VITAKAVYOKUJA KUPAMBANA HAPA KUISHAMBULIA THREAD HII....MOODS MSIIUNGANISHE POPOTE TUONGEE KWA UHURU....

Mnaweweseka sana. Kama msimu uliopita ulivuna gunia 29 katika heka hiyo moja. Msimu huu umevuna gunia 22 kwa heka hiyo hiyo na kwa mbinu za kisasa zaidi. Hapo umefaulu au umefeli. Na yule aliyevuna gunia 2 kwa heka hiyo hiyo msimu uliopita; na msimu huu kavuna gunia 4. Hapo nani kafaulu? ACHENI KUJI-FOOL wenyewe.
 
Uchaguzi huu umetoa picha halisi ya uchaguzi 2015 Chadema ndo basi tena walie tu hawana chao hata wabunge watakosa
 
Back
Top Bottom