Kwanza tangu nimeingia ofisini leo saa 1.30 asbhi hakuna umeme hadi nimetoka saa 10.30 jioni sijafanya chochote. Nimekula mshahara wa bure. Nimefika nyumbani umeme umerudi na kukatika mara 9...
Treni lenye route ya stesheni mpaka Ubungo maziwa likiwa na mabehewa sita limewaacha abiria zaidi ya 1000 waliokua wakisubiri kupanda katika kituo cha kamata.abiria hao ambao wengi wao wametokea...
Kuna kikundi cha watu wa kiislamu (Mujahidina) kimeweka kambi kwenye hospitali
ya Temeke karibia Mwaka sasa,Mganga mkuu wa hospitali hii Dr.Malima alisema
wamekuja kutoa msaada wa damu na kuosha...
MSAKO MPAKA KWENYE
FACEBOOK
Kwataarifa tulizozipata kuwa
jeshi la polisi limeanza msako
kupitia mitandao ya jamii
hususan Facebook.
Kupitia Makao Makuu yao ya
Polisi wameweka watu maalum...
Hakuna jambo ambalo linasumbua kama kushindwa kukubali ukweli na kurekebisha tatizo.!!
Sasa imekuwa ni suala linalosumbua jamii yetu,tukisema hapa Serikali ifanyie kazi kero mbalimbali utasikia...
Napongeza sana serikali kwa kuanza huduma ya Treni nafikiri kwa kiasi kikubwa itasaidia tatizo la usafiri jijini. Ila nafikiri kutokana na wingi wa abiria na vituo kuwa karibu karibu ni vizuri...
Nko mkoa Tanga nkitokea kenya,Kampen za uchaguz wa selikar ya wanachuo ktk chuo cha uongozi wa mahakama cha lushoto,kuna haja ya serikal kukemea siasa za ubaguz,sio 2 kwa wagombea pia hta...
Mtoto wa miaka 7 wa nchini Cyprus aliyekuwa akisumbuliwa na maumivu ya meno amepoteza jicho lake baada ya daktari wa meno kumdondoshea dawa ya ganzi kwenye jicho lake.
Kwa mujibu wa magazeti ya...
heshima kwenu wanabodi,
Ninahitaji ngazi za mbao au hata za steel (kama nitakosa za mbao) kwa ajili ya nyumba
Nafahamu hizi ngazi huwa zinakuwa zimetengenezwa kabisa kwa hiyo fundi yeye hufanya...
Kuna taarifa nimezipata kuwa kesho tarehe 01.11.2012 jiji la Arusha linazinduliwa rasmi na hivyo wameamua kuwaleta baadhi ya wasanii wa bongo flava kwa ajili ya kuburudisha wakazi wa Arusha,na...
Mara nyingi nimekuwa nikisikiliza au hata kuangalia bei za simu zikiwa na bei ya: kwa mfano 85.999/= au 32,999/=. Hivi kwa nini huwa hawaweki kitu kizima ili kuepusha maswala ya change. Kwa mfano...
Wadau wa Jf muhali gani,habari za humu jamvini,Kuna suala ambalo kwa kweli TBC wamelifanya nadhani si la kiungwana ,Kuna mashindano ya mpira wa Kikapu yanayoendelea mkoani Tanga,yalianza tangu...
Kamati kuu ya shimisemita wamechsgua uongozi wa muda wa siku 90 kwa mujibu wa katiba ya shimisemita ili kusukuma mbele michezo kwa wafanyakazi wa halmashauri nchini.
Leo asubuhi pale maeneo ya Kikatiti Arusha nimeona police traffic wakiwa wanapiga picha za vieo kwa magari yanayotokea Arusha-Moshi, sijui huundio utaratibu mpya kama kuna mwenye dondoo tujuzane...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewapiga mabomu mamia ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kimnyaki iliyopo wilayani Arumeru walioandama kwenda katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Pamoja...
Wapinzani Malawi Wametoa Waraka wenye Kurasa sita Wakimtuhumu Rais Banda kuwa ameshindwa kutawala Malawi Kwa Sababu Zifuatazo:
1. Mfumuko wa Bei umeonogezeka kwa 28%
2. Amekuwa anakamata...