Aenda Kwa Daktari wa Meno, Apoteza Jicho Lake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aenda Kwa Daktari wa Meno, Apoteza Jicho Lake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mtwana, Oct 31, 2012.

 1. mtwana

  mtwana JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  [TABLE="width: 491"]
  [TR="bgcolor: #e1e1e1"]
  [TD]Mtoto wa miaka 7 wa nchini Cyprus aliyekuwa akisumbuliwa na maumivu ya meno amepoteza jicho lake baada ya daktari wa meno kumdondoshea dawa ya ganzi kwenye jicho lake.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Kwa mujibu wa magazeti ya Cyprus, mtoto huyo alipelekwa na wazazi wake hospitali alipokuwa akisumbuliwa na maumivu ya jino.

  Wakati akiwa hospitali, daktari wa meno alitoa dawa ya ganzi na kumuonyesha mtoto huyo na wazazi wake dawa ya ganzi atakayotumia.

  Wakati akifanya hivyo kwa bahati mbaya matone ya dawa hiyo yalidondokea kwenye jicho la mtoto huyo na kupelekea mtoto huyo apoteze nuru ya macho yake.

  Mtoto huyo aliwahishwa kwenye kitengo maalumu cha macho kwenye hospitali hiyo hiyo ya serikali lakini juhudi zao za kuliokoa jicho la mtoto huyo zilipokuwa zinafeli mtoto huyo aliwahishwa kwenye hospitali binafsi ambako huko pia madakatari walishindwa kuliokoa jicho la mtoto huyo wakisema kuwa amecheleweshwa sana kupewa tiba hivyo hakuna kinachoweza kufanyika kulikoa jicho lake.

  Kwa mujibu wa magazeti ya Cyprus, wazazi wa mtoto huyo wamemfungulia mashtaka daktari wa meno na daktari wa macho kwenye hospitali hiyo.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  Napenda kuuliza wanaJF hivi ingekua kwetu ingekuaje au ndio watasema ni kosa la kibinaadamu?
   
 2. bysange

  bysange JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 4,378
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mtwana thread yako ilifaa uweke kwenye hoja mchanganyiko na siyo hapa.ninapita tu tutaonana baadaye.
   
 3. mtwana

  mtwana JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Hayo yako tenaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 4. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  This is not politics,address on the right forum for right answers!
   
 5. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  so sad for the kid! sory kwa wazazi pia!
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  So sad!
  Mods peleka hii thread kunakohusika. Hapa ni mambo ya vitu vizito vyenye ncha kali tu
   
 7. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hizi ndo zile za Salm kikeke bbc.
   
 8. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kihele hele cha nini? ya Ngoswe mwachie Ngoswe!!!!!!!
   
Loading...