Tanesoc hii leo ni uhuni

fisi 2

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
3,273
4,626
Kwanza tangu nimeingia ofisini leo saa 1.30 asbhi hakuna umeme hadi nimetoka saa 10.30 jioni sijafanya chochote. Nimekula mshahara wa bure. Nimefika nyumbani umeme umerudi na kukatika mara 9 tangu saa 11 hadi sasa 1. 20. Prof Muhongo au muongo nakutukana lile tusi alilopewa Mzee Ruksa pale UDSM mwaka uleee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom