Kazi ya ukonda wa treni wangepewa vijana wenye uzoefu na kazi hiyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi ya ukonda wa treni wangepewa vijana wenye uzoefu na kazi hiyo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Anold, Oct 31, 2012.

 1. A

  Anold JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,378
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Napongeza sana serikali kwa kuanza huduma ya Treni nafikiri kwa kiasi kikubwa itasaidia tatizo la usafiri jijini. Ila nafikiri kutokana na wingi wa abiria na vituo kuwa karibu karibu ni vizuri kuajiri vijana wenye uzoefu wa kukusanya nauli maarufu kama makonda, maana kwa tathmini niliyoona kuna wengi wanaweza kupanda bila kulipa nauli na kufanya shirika hilo lijiendeshe kwa hasara.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  sawa. Tumekusikia
   
 3. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unakaribishwa tuma maombi!
   
 4. m

  mpepalilambo Senior Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nashangaa mnahitaji makonda? wekeni mashine moja kila mlango na kila anayeingia awe na nauli kamili. unaingiza pesa unapata tiketi na wawepo wakaguzi tuu. Hujafika kwa weupe nini? tujifunze
   
 5. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  hayo ndiyo maneno kk
   
Loading...