Mujahidina waweka kambi hospitali ya temeke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mujahidina waweka kambi hospitali ya temeke

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by REMSA, Oct 31, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kuna kikundi cha watu wa kiislamu (Mujahidina) kimeweka kambi kwenye hospitali
  ya Temeke karibia Mwaka sasa,Mganga mkuu wa hospitali hii Dr.Malima alisema
  wamekuja kutoa msaada wa damu na kuosha wagonjwa.Lakini cha kushangaza
  toka hapo wanafika hospitali kila siku asubuhi na kuanza swala zao kwenye uwanja
  wa hospitali na wapo tu hapo haieleweki kwa lengo lipi.


  My take:
  -Je ni sahihi kikundi cha dini fulani kuwepo mazingira ya hospitali kila siku kama mahali pao pa kazi
  -Hata kama ni kuosha wagonjwa je ni kweli hawa watu wana utaalamu wa kuhudumia wagonjwa!
  -Au je serikali haina wahudumu wa kutosha kuhudumia wagonjwa na hawaoni kikundi hiki kuwepo
  maeneo ya hospitali kila siku na kufanya swala zao hapo haileti picha nzuri!
  -Na je siku akibadilishwa mganga mkuu wa hospitali akondolewa huyu wa dini na dhehebu moja
  akaletwa wa dini tofauti serikali haioni kuwa itakuwa ndio mwanzo wa mgogoro mzito!
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Mzee wa heshima nyingi REMSA, hii ni nchi ya mazuzu, huyo daktar mkuu wa hospitali hiyo hajiulizi mission ya hao watu ni ipi.
  Hawaoshi wagonjwa, kazi yao ni kukaa tu na kupanga mipango yao ambayo hatuijui na hawajaiweka bayana.
  Huu ni wakati wa kufanya screen, ili tuone ni nini dhamira yao haswa, na tuijue.
  Tusijekuta washkaji sio waislam wala nini, ila ni kundi la wachawi wanaowachukua wagonjwa wetu MISUKULE
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Misikiti imejengwa kibao na haijai waumini, wao wanaikimbia wanaenda kuswalia uwanjani ambapo kunauwezekano mkubwa kuwa watu wamepakojolea, wao hawaitambui hiyo. anyway labda kuna agenda maalum kwamba kikinuka huko mtaani majeruhi wa kigalatia wawe wanamaliziwa fasta, na wale wa . . . . wasaidiwe kupatiwa matibabu.
   
 4. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha.. Mkuu Bujibuji utawafanya waswahili waciwapeleke wagonjwa wao Temeke.. Maana waswahili wanaogopa uchawi kuliko..
   
 5. Akthoo

  Akthoo JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 584
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  NINYI *&^$ HAMNA HERI HATA MMOJA!
  KABLA YA KUANDIKA HAYA, UNGEJISUMBUA KIDOGO TU KWENDA KUONANA NA UONGOZI WA HOSPITALI HUSIKA ILI UPATE TAARIFA SAHIHI AU WASILIANA NA MANESI WANAOFANYA KAZI MAWODINI ILI UJUE ZAIDI. NA KWA TAARIFA YAKO ZOEZI HILO LINAFANYIKA HOSPITALI ZOTE, ILALA, MWANANYAMALA, OCEAN RD, MUHIMBILI NA HATA MIKOANI.
  JIULIZE WEWE BINAFSI NI LINI UMEKWENDA HOSPITALI YEYOTE KUMUONA MGONJWA ASIYEKUHUSU AU KUMSAIDIA USIYEMJUA?
  KWA WAISLAMU , HIYO NI IBADA; NA HUWEZI KUJUA NI KIASI GANI WAGONJWA WASIOKUWA NA JAMAA AU WALIOTELEKEZWA NA WATU WAO WAMEFARIJIKA KWA HUDUMA ZA HAO UNAOWAITA
  (Mujahidina).

  TAFAKARI; CHUKUA HATUA SASA!
   
 6. C

  CAY JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sasa hapo wagonjwa wanasaidiwaje?Kwa kuangaliwa au kupewa msaada wa mahitaji mbalimbali?
   
 7. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ni kweli Mkuu huyu daktari either kwa kujua au kwa kutokujua mission ya hawa watu,sidhani
  kuwa ni njema kwa sababu hakuna ajuaye wametoka wapi na lengo ni nini.
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Mbona hata madada wanakojolewa tu kwa ujumla na kwa urejareja? Hatari kitu gani?
   
 9. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Tatizo pia kwa mganga mkuu sijui kama ni dini au la?maana ukiingia ofisini kwa Dr Malima
  muda wote ni ubani unachomwa.Kwa sababu sina utaalamu sana na masuala ya dini sijui
  kama ndio dini inavyomtaka huyu alhaji Malima au kuna kitu zaidi.
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  misikiti imejaa ha wa watu mbona wagomvi sana?
   
 11. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hakuna mtu anakataa suala la wagonjwa kupewa huduma,lakini ndugu yangu nikuuluze ibada
  ni kuona wagonjwa na kuwasaidia au kushinda hospitali naswala zote zinafanyika kwenye uwanja
  wa hospitali!!Na je hawa watu wanaishi kwa nguvu ya nani?mahitaji yao wanapata wapi pasipo
  kufanya kazi?je hawana familia?kama wanazo wanazihudumia kwa kipato gani? Think Twice"
   
 12. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Naona wameanza kuwaiga wamasai wasiokuwa na makazi maalum tunaowaona mitaani wakilala kwa makundi sehemu mbalimbali...
   
 13. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Mkuu huyo ni mpango maalum wa kutoa msaada mfano juzi nilijuwa Korogwe nikaona asubuhi wanapeleka Uji na Kufanya Usafi hospitali ya wilaya sidhani kama kuna tatizo na huwa wanafanya hivyo kila siku na manesi wanafurahia huduma zao, ni hayo tuu.
   
 14. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  mwaka mzima wanatoa huduma??? hawana kazi za kufanya?? ndio maana hatuendelei! rubbish!
   
 15. n

  ngogosayied New Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkubwa Akthoo, mpotezee c mzima kwan hana hakika ya jambo hili so afunge bakul lake
   
 16. Akthoo

  Akthoo JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 584
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  USILOLIJUA; LISIKUSHUGHULISHE!!!
  "NO RESEACH NO RIGHT TO SPEAK"
  Hata hivyo hofu tu ndio imekutawala, vinginevyo unayofursa ya kuongea na hao jamaa. Hata kuwauliza chanzo cha kipato chao au huduma wanazotoa fedha wanapata wapi. Kama Binadamu mwenye huruma (Msamaria mwema) unayo fursa ya kuchangia mali yako na nguvu zako kuwaunga mkono na sio kuwavunja moyo.
  Kuna Jamaa kibao wanapita mawodini wakikimea kwa Jina la Yesu, kwa kutoa sauti za juu; Ukweli ni kuwa mbali na kuwasumbua wagonjwa, hawatoi msaada hata wa kumpeleka chooni mgonjwa mhitaji. Na Maradhi na vifo viko pale pale.
   
 17. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  ni kweli waislam tumehimizwa kutembelea wagonjwa na kuwasaidia na kuwaombea dua pamoja na kuwafariji
  ila sasa hili la kukaa na kushinda hapo sidhani kama lina ushahid wa maandiko
  nadhani itakua ni maamuz ya hao watu kwa nasfi zao,misikiti kama sehemu za kufanyia ibado zipo,na hapo sio mahala pake
  wasituharibie dini yetu kwa mwamvuli huo wanaoutumia
   
 18. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hapo sasa!! huduma mwaka mzima na kuswali hapohapo kwa nini wasiende msikitini kuswali
  baada ya huduma!!!
   
 19. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo mujahidin waliopiga kambi pale ndiyo wanaondoa maradhi na vifo ?
   
 20. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ukiacha kupanic na kutulia utanielewa,pitia upya topic yangu then jibu moja baada ya nyingine
  kwa hoja,acha kutoka mapovu dear.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...