wooden spiral staircase / Ngazi za mbao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wooden spiral staircase / Ngazi za mbao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uswe, Oct 31, 2012.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  heshima kwenu wanabodi,

  Ninahitaji ngazi za mbao au hata za steel (kama nitakosa za mbao) kwa ajili ya nyumba

  Nafahamu hizi ngazi huwa zinakuwa zimetengenezwa kabisa kwa hiyo fundi yeye hufanya tu kazi ya kufix, kama kuna mtu anauza au anajua wapi naweza kuzipata hapa dar es salaam naomba anipm au anipe mwongozo hapa.

  Kitu ninachotafuta ni kama hiki

  [​IMG][​IMG]
   
Loading...