Treni laacha watu 1000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Treni laacha watu 1000

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nkwama welding, Oct 30, 2012.

 1. N

  Nkwama welding Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Treni lenye route ya stesheni mpaka Ubungo maziwa likiwa na mabehewa sita limewaacha abiria zaidi ya 1000 waliokua wakisubiri kupanda katika kituo cha kamata.abiria hao ambao wengi wao wametokea kariakoo wamesubiri treni hilo kwa muda wa Saa nzima treni limekuja toka stesheni likiwa tayari limejaa.nimeongea na baadhi ya abiria wamesema kuna umuhimu mkubwa wa mabehewa kuongezwa.nadhani TRL wamepiga mahesabu madogo sana.
   
 2. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mwanzo mgumu. tukijipanga vizuri changamoto kama hii tutazikabili.
   
 3. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,828
  Likes Received: 4,198
  Trophy Points: 280
  Poleni, endelea kusubiri maana linarudi
   
 4. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni changamoto mkuu siunajua tena mwanzo mgumu.
   
 5. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Waongeza mabehewa wakati wa asubuhi na jioni! ni ushauri wa bure tuu!
   
 6. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Lakini pia naona gharama zitarudi haraka!! kwani ziko ngapi katika kila njia?
   
 7. L

  LISAH Senior Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani linauwezo wa kuchukua abiria wangapi kwa Waikati mmoja.?
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hayahayaa Dr mwakyembe kazi ni kwako kula vichwa hvyo laki nne mnaikosa hivi hivi kwa siku,je kwa mwaka sh ngapi mnapoteza?
   
 9. N

  Nkwama welding Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipo naendelea kusubiri robo Tatu ya abiria waliokuwepo wamerudi kupanda mabasi.
   
 10. M

  Mchaga HD Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kauli yako imenitia hasira sana..tafakari.
   
 11. w

  white wizard JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Behewa moja linabeba abiria 200,hivyo behewa 6 ni abiria 1200.kwa wakati mmoja.
   
 12. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Watajirekebisha kwa kila hatua ili kusiwe na usumbufu

  Mungu Ibariki Tanzania
   
 13. Crocozilla

  Crocozilla JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 474
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Hii ni changamoto nyepesi kwa hatua alikofikia. Nashauri waite mabehewa yalikuwa yanafanya safari za mwanza ili kuongeza nguvu wakati wa asubuhi na jioni walau behewa 10 hadi 12. Ni mwanzo mzuri sana Mwakyembe
   
 14. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,694
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watu 1000 wachache sana. dar ina wakazi million 5
   
 15. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni kweli mkuu wasipofanya ufisadi watapata pesa ya kuweza kuiboresha sana TRL
   
 16. o

  oyaoya JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Abiria wapatao 80 kwa behewa. Treni ina mabehewa matano hadi sita kwa hiyo safari moja inaweza kubeba abiria zaidi ya 400 na karibia 500 mkuu... mwanzo mgumu, ni changamoto ya kufanyiwa kazi kwa kweli.
   
 17. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyu ndio Dr. wa kweli, ameonyesha kiwango cha usomi wake kwa vitendo na sio kuningíniza usomi wake ukutani. Amekula ngómbe hatashindwa mkia.
   
 18. f

  filonos JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  sio wote 5 mil..wanaishi UBUNGO CHAMUHIM LAZIMA RELI ZIWE 2 THE TREN KILA DAKIKA 20 IJE NYINGINE HAPO KIDOGO ITASAIDIA KUPUNGUZ kelo waonge na NSSF waongezee mtaji kwani gharama zitarudi mapema
   
 19. b

  blueray JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 2,219
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Inaelekea Mh. Mwakyembe amekurupuka kwa nia ya kutafuta umasrufu. Town train gani ikishapita usubirie masaa! Si ndio watu badala ya kuwahi kazini watachelewa zaidi!

  Halafu town train zenyewe za kuchakachua kwa kuokoteza na kuunga unga. kwa nini wasiokoteze na kuunga mengi yapite kila baada ya robo saa?

  Any way miongoni mwa mafisadi angalau Mwakyembe ameonyesha ubunifu, tumuunge mkono labda siku nyingine atakuja na town train za ukweli badala ya kuendeleza mfumo wa uchakachuaji
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Good move, sasa waongeze mabehewa, na exchange routes ili wawe na trips nyingi... si vibaya kufikiria local private investors
   
Loading...