Mwanza mvua kubwa inanyesha tokea saa 12 asubuhi na baadhi ya barabara hazipitiki

Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,401
2,333
Kwa wanaoishi lumala inabidi kuzungukia msumbiji,na kwa nyamanoro charminglady tujuze hali ikoje huko?
 
Jamani niko safarini, vipi barabara ya kwetu Kiseke, manake!!!
 
wacha mvua zinyeshe watu walime tupate chakula,mwanza ni shwari tu mvua mpk sasa haijaleta madhara,hii ni neema kutoka kwa mungu.
 
Mda wa kutapisha umewadia. Duh ni kitambo sasa hatujatapisha.....! Mazao yatakuwajee? Hakuna haja ya vocha ya Mbolea ndo raha ya Rock City
 
mpaka sasa mchana huu wa saa 7.30 mvua bado inanyesha mwanza,ni neema kutoka kwa mungu,mpk sasa hakuna taarifa zozote za maafa,kwa dalili leo mchana kutwa mvua itaendlea kunyesha rock city.
 
Nimeambiwa hadi saa hizi bado inanyeesha, duh mvua za Mwanza huwa ni nouma
 
Madhara ya Mafuriko cdhan kaa yatakuwepo,Ila magonjwa ya Tumbo,Amoeba,Typhod nk toeni tahadhari kwa watoto kutochezea madibwi na MWAUWASA Waongeze Dose yakutibu maji c Mwajua wakazi wa Milimani ndo mda wa kuflash a.k.a Kutapisha Vyoo.
 
Back
Top Bottom