Traffic police pale kikatiti:-

kamkoda

JF-Expert Member
Sep 20, 2012
396
71
Leo asubuhi pale maeneo ya Kikatiti Arusha nimeona police traffic wakiwa wanapiga picha za vieo kwa magari yanayotokea Arusha-Moshi, sijui huundio utaratibu mpya kama kuna mwenye dondoo tujuzane maana naona wenzetu wanazidi kujiimarisha kiteknolojia zaidi japo kamera yenyewe ni kama zile za kwenye send off.
 
Tochi naijua vema na video kamera naijua so ni rahisi sana kwangu kutofautisha.
 
Wale Jamaa wa Pale wana vyote viwili, Video Camera na Kipima Speed maarufu kama Tochi.
 
Mimi sijakuelewa, ulichokishangaa nini. Ulizani hawajui kupiga picha au ni kosa la jinai hao jamaa kuwa na camera! Kwani kikatiti ndo wapi mnaposhangaa watu kuwa na kamera?
 
Back
Top Bottom