Msako wa uamsho..... Sasa mpaka facebook | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msako wa uamsho..... Sasa mpaka facebook

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gene, Oct 30, 2012.

 1. G

  Gene Senior Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MSAKO MPAKA KWENYE
  FACEBOOK

  Kwataarifa tulizozipata kuwa
  jeshi la polisi limeanza msako
  kupitia mitandao ya jamii
  hususan Facebook.
  Kupitia Makao Makuu yao ya
  Polisi wameweka watu maalum wanaoshulikia mitandao
  ilikuona vipi watu
  wanavoshajihishana kupitia
  mitandao ya kijamii.ili waweze
  kudhibiti yasije yakatokea
  kama ya Misri kwani mitandao ndio iliosaidia kufanya
  mapandizu katika nchi hizo za
  KASAKAZINI mwa Afirca.
  Kwa kuthibitisha hilo page yetu
  kwa muda wasiku 5 hivi ilikuwa
  imefungwa siwezi kufanya lolote na siwezi kutuma taarifa
  yoyote.

  Walizaribu kutaka kuiblock ila
  kutokana page hii inaendeshwa
  na wataalamu walobobea
  katika fani hii hilo limeshindikana na mtego wao
  leo tuliunasa.
  Ila tunawatahadharisha
  wazanzibar wote usi accept
  mtu ambae humjui kwani sasa
  wameanza kufanya operesion hiyo ya kujifanya friend na mtu
  halafu waweze kumtia
  mikononi.
  Wanaowataka hasa wale
  ambao wanaweka post ambazo
  zinaelezea zanzibar tupate uhuru na zile post za kuwaunga
  Uamsho. Tunatakiwa tuwemakini.
  TUACHIWEE..........TUPUMUWEEE..

  Source: Facebook page yao
   
 2. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,756
  Likes Received: 8,025
  Trophy Points: 280
  Na kila atakayekamatwa anyolewe ndevu na kupigishwa mswaki
   
 3. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kuna uamsho JF?? kama yupo ajisalimishe mara moja.
   
 4. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ha ha haaa mkuu mimi hapa na facebook pia nipo tena nimeweka data zangu zote na ninachojisikia kuandika hufanya hivyo bila kuogopa. Na siku zote wanapopelekwa Mahakamani MASHEIKH wetu ni miongoni mwa watu wa mwanzo kufika. Hata hile picha ya masheikhe walionyolewa ndevu ambayo Magazeti yote walítumia niliipiga mimi. Na kikubwa zaidi memba wote wa JF kutoka Zanzibar ni Wana UAMSHO. Inshort 85% ya Vijana wa Kizanzibari ni UAMSHO.
   
 5. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,635
  Likes Received: 1,992
  Trophy Points: 280
  Hapo ulipo ni Mchambawima au Jalalabad?
   
 6. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  hawa si walisema wanasusia products za USA .... bado wanaishobokea facebook
   
 7. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  Abbottabad
   
 8. M

  Mtoto wa tembo Senior Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usa iz everywhere u cant avoid it,also uamsho know dat.
   
 9. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kweli ww mbishi, ndo hao maafande wanakushuhulikia hivyo km kwenye avatar?
   
 10. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Na huo utafiti ulifanya lini?
   
 11. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Sasa hiyo facebook wanayotumia mbna inamilikiwa na kafiri zuckerberg.. Kweli madrasa mbaya na inaathari kubwa kwa hawa jamaa.. Nasema hivi kikijitokeza chama kitakacho kataza ilmu ya madrasa mm nitakisapoti kwa nguvu zoooote
   
 12. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Tatizo la hao uamsho Wengi ni mashoga.
   
 13. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wewe bado hawajakutia mikononi? Ama unaandika toka msituni? Hahaha, JF bwana
   
 14. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  wanamalizia"TUWACHIWE TUPUMULIWEEEE"mapunga hao:majani7:
   
 15. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mmmmmmmmmmmmmh! una uthibitisho wa hilo?
   
 16. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,842
  Trophy Points: 280
  duh mkuu umenichekesha sana aiseee
   
 17. Imam Yussuf Shamsi

  Imam Yussuf Shamsi Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tatizo lako nini? Au ndo matokdo ya kufundishwa chuki makanisani dhidi ya waislam?
   
 18. Life.co.tz

  Life.co.tz JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 618
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 80
  Kweli Mkuu hawa UAMSHO Vigeugeu......! Wanatumia vingi vya MAKAFIRI
  e.g Mkuu wa Meza,Mvinyo etc. Kaaaaaz kwel!
   
 19. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,858
  Likes Received: 4,239
  Trophy Points: 280
  Na kauli mbiu yao inabidi iwe 'tuacheni tupumuliwe'
   
 20. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  wana mpango wa kusain ule mkataba wa kameruni ,raha kuchezea ile midevu.....
   
Loading...