Bei za simu: Mfano 94,999/= ; 67,999/= etc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei za simu: Mfano 94,999/= ; 67,999/= etc

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by katalina, Oct 31, 2012.

 1. k

  katalina JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi nimekuwa nikisikiliza au hata kuangalia bei za simu zikiwa na bei ya: kwa mfano 85.999/= au 32,999/=. Hivi kwa nini huwa hawaweki kitu kizima ili kuepusha maswala ya change. Kwa mfano badala ya kuweka bei ya 32,999/= waweke 33,000/=. Hivi lengo lao huwa ni nini. Tujadili.
   
 2. NEGLIGIBLE

  NEGLIGIBLE JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  hiyo inaitwa physiological pricing,bora wewe umegundua tofauti ni shilingi moja tu,wengi hawagundui hilo.
   
 3. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,746
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280

  Hiyo inaitwa price hangover,ni kuonesha tu kitu ni cha bei rahisi.
   
 4. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Mkuu ni Psychological pricing na si Physiological pricing!
   
 5. GOOGLE

  GOOGLE JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 1,888
  Likes Received: 712
  Trophy Points: 280


  hiyo inaitwa price danganya toto katka economics!
   
Loading...