Habarini Jamani wa JF! Naomba mnisaidie kwani na shindwa kutofautisha mafundisho ya Bible kuhusu kuua na Utakatifu wa taifa la Israel. Bible inasema usiuue na Israel ni taifa teule mbele ya Mungu...
Televisheni ya Taifa (TBC) imetoweka hewani kwenye dish kwa zaidi ya wiki mbili sasa bila taarifa. Mbona hamtupi sababu au ndo mnatulazimisha tununue ving'amuzi vya mbia wenu Star Times...
Jamani nina habari mpya ambazo watu wote hawazijui. Nimeandika vitabu na magazeti ya kiswahili na kizungu kusambaza habari hizi na kuziweka kwenye website www.quasserer.com lakini watu hawajiungi...
Jumamosi, Novemba 17, 2012 Na John Maduhu, Mwanza
HALMASHAURI ya Jiji la Mwanza, imetoa pole kwa wakazi wa jiji hilo kutokana na vurugu zilizotokea juzi kati ya mgambo wa...
Mwandishi wa habari ITV na radio+one DAMIAN KANUTI amefariki dunia katika hosptali ya taifa muhimbili leo. Kituo cha utangazaji nchini Tanzania ITV na Radio One kimeendelea kushudia vifo vya...
Pamoja na Joseph Selasini Mbunge wa CHADEMA-Rombo kuchaguliwa kwa kishindo na waumini wa Kanisa Katoliki Dar kuwa Kiongozi wa Baraza la Walei Jimbo kuu la Dar uongozi wa Jimbo hilo umemuondoa...
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imetoa nafasi chache kwa wamiliki wa kampuni za mabasi yaendayo mikoani wanaotaka kubadilisha leseni za safari zao kutoka Dar es...
Baada ya JK kumteua Abrahaman Kinana kuwa katibu mkuu wa tatu kwa kipindi cha miaka sita toka Kikwete awe mwenyekiti wa CCM, na baadhi ya watu kuona kuwa hata yeye Kinana hana kitu kipya cha...
By Staff writer 17th November 2012
Customs officers stand behind more than 500 pieces of ivory tusks on display after being seized by the Customs and Excise Department in Hong Kong November...
Watu wengi huogopa wanaposikia kifo na kusikitika,lakini cha kushangaza ni kuwa kila nafsi itaonja mauti.maisha duniani ni mafupi,unaweza ukawa na mali nyingi hadi akaunti uswisi ukawa nazo lakini...
Imekuwa kawaida kwa chama cha mapinduzi kutengeneza hila za wazi pale inapopoteza jimbo au halmashauri nchini.Wamefanya hivyo Arusha katika uchaguzi wa Meya na kusababisha vurugu zilizopelekea...
Wazo lilinijia miaka kadhaa nyuma, nilipokuwa katika sehemu fulani ya starehe... Jamaa mmoja fundi wa TANESCO alikuwa amepiga dili ya kishoka, ana elfu 18 mfukoni (ilikuwa si pesa haba wakati...
Bei ya dawa MSETO ambayo kwa muda sasa imekuwa ikitumika sana na watu wengi hasa wa kikao cha chini Kuna tetesi kwamba kwenda ikapanda wakati wowote kutoka Tsh. 600/- mpaka 4000/- kwa bei ya...
Naskitika sana television ya Taifa TBC kwenye dstv mara mnapotea mara mnarudi nashindwa kuelewa kweli mmejipanga kurusha matangazo yenu kimataifa ama bado mpo kwenye majaribio? Kasheshe ni pale...
Ninavyo ona sasa kila tenda hapa nchini anapewa China,je wazungu hatuwahitaji tena? na nikweli wachina ni marafiki wakweli ambao hawawezi kututenda vibayaa?
eofrey Nyang'oro, Iringa
MAPADRI wawili wa Kanisa Katoliki Parokia ya Isimani, Jimbo la Iringa, wamejeruhiwa vibaya na kulazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa, kutokana na watu wanaodhaniwa...
Poleni na shughuli Wana jamiiforum nlikuwa naomba kujulishwa,nlikuwa najishauri nifungue a/c kwenye benki gan,nimeangalia web ya nbc,crdb ,crdb kuna scholar a/c na nbc cjajua vizuri,nlikuwa...
Leo tumemzika Daktari wetu wa upasuaji wa watoto wachanga na wadogo Dr. Enock Sayi pale makaburi ya kinondoni!. Daktari pekee aliyejitolea kuokoa maisha ya watoto wetu wenye matatizo ya...
Handaki kubwa limegunduliwa katika eneo la KITANZINI MKOANI IRINGA MUDA HUU WAKATI KAMPUNI YA UCHIMBAJ WA BARABARA YA JR IKIENDELEA NA UJENZ SOURCE ITV BREAKING NEWZ MUDA HUU
Mh. Sherif makamu wa 2 wa rais na mwenyekit wa chama cha CUF kesho watakuwa na mkutano wa hadhara. Gari leoye nembo za cuf limeanza kutangaza tangu jana. Hatujui dhumni la mkutano ila mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.