Bei ya dawa mseto yapanda

Bei ya dawa mseto yapanda

Mesaka

Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
31
Reaction score
2
Bei ya dawa MSETO ambayo kwa muda sasa imekuwa ikitumika sana na watu wengi hasa wa kikao cha chini Kuna tetesi kwamba kwenda ikapanda wakati wowote kutoka Tsh. 600/- mpaka 4000/- kwa bei ya jumla kwa dozi moja. Dawa hii iliyopendekezwa kwa kutibu malaria ilipungua bei baada ya serikali kuweka ruzuku ili mtu wa kipato cha chini aweze kumudu. Sasa sijajua kama serikali imesitisha ruzuku kwa dawa hii.
 
Ni kweli , tena kwa rejareja inaweza kufika mpaka 7500/= kwa dose 1 tu ya mtu mzima ,nimepata dondoo kutoka ASTRA PHARMACY ambao ni kati ya importers wa hizo dawa , tayari hivi sasa kuna upungufu mkubwa sana wa dawa hizo , hasa kwa dose ya wakubwa na hata ukifanikiwa kuipata bei yake ni zaidi ya 2000/= si kama inavyotangazwa .
 
Kuna ALU nilinunua juzi kwenye pharmacy moja inauzwa sh 2000/=dozi ya mtu mzima; lakini hii ni ile iliyoandikwa NOT FOR SALE, nyingine bei yake ni hatari.
 
Back
Top Bottom