Kwanini tujihadhari na vyakula kutoka nje?

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,356
Wazo lilinijia miaka kadhaa nyuma, nilipokuwa katika sehemu fulani ya starehe... Jamaa mmoja fundi wa TANESCO alikuwa amepiga dili ya kishoka, ana elfu 18 mfukoni (ilikuwa si pesa haba wakati huo), na sisi tulikuwa sehemu ya wapambe wake.
Tulikunywa kadiri tulivyotaka, pesa ilikuwepo! Tofauti yetu na bosi wetu ilikuwa aina ya kinywaji, wakati sie tukinywa Safari na Bia BINGWA, mshua alikuwa anapata Heineken Kombora, huku akijitapa kuwa hanywi uchafu (akimaanisha hizi za TBL) anapokuwa na hela.
Mzungu mmoja wa uswahilini alikuwa jirani pale, akamhoji jamaa kisa cha kupapatikia bia za Uholanzi, wakati mzungu alikuwa akinywa Pilsner ya EABL, Nairobi?
Mzungu akatutia na kutupanua, maana imani ni kutiana na mawazo ni kupanuana. Ya kuwa ati bia za huko kwao ambazo zinaletwa Afrika huwa ni zile za kimea cha daraja ya chini kabisa. Neno likamrudi tajiri wetu kuwa yeye ndio anakunywa uchafu!
Miaka mingi mbele baada ya tukio lile bado najiuliza, ni sawa kwa sisi kupapatika na bidhaa ya kutoka Arabuni ambayo hata Dabaga waitengeneza? Ndiyo, kuna vyakula tele toka Ulaya, Arabuni na Afrika Kusini huko masupamaketi, vyakula ambavyo hata huku vipo.
Hao wa Ulaya na Arabuni wanazo rasilimali za kutosha kutulisha wakati wenyewe wana uhaba?
#Sumu za kujitakia#
 
Mkuu, usindikaji wa vyakula huwa unafuata viwango vilivyowekwa ama kitaifa au kimataifa.
Pia kama Heiniken inaingizwa Tanzania ni jukumu la TBS kuhakikisha kuwa inakidhi viwango vilivyowekwa/ilivyojiwekea.
Hivyo sioni umuhimu wa wewe kuamini maneno ya bar (toka kwa mzungu) kuwa eti inatengenezwa kwa shayiri ya kiwango cha chini! Hata bia zetu zinafuata viwango vilivyowekwa na TBS pia.
Hivyo ni kazi ya TBS kuhakikisha kuwa wananchi tunatumia chakula ambacho ni salama kuanzia kwenye malighafi (raw materials) zilizotengeneza chakula hadi chemical zinazotumiwa (food additives) kuhifadhiachakula kama vinakubalika kisheria.
Ushaaauri...., tupende kutumia bidhaa za nyumbani ili tuchangie ktk kuinua uchumi wa nchi yetu.
Kila la kheri
 
Nakanganywa na hapa TBS wanapokuja kuaminiwa ghafla bin vuu.
Bidhaa nyingi tunazokutana nazo madukani ni feki, kuanzia electronicr, nguo, viatu mpaka vipodozi. Na vyoote viko na nembo ya TBS, tena orijino na wala si ya kufoji.
Na nyongeza tu, ni kuwa wazungu hawana mapenzi ya kihivyo na sisi mpaka walete best quality products kwetu, nadhani wakipata nafasi ya kutumaliza kwa kemikali watafurahi sana!
Huoni kuwa kuna haja ya kumuamini zaidi mzungu wa bar kuliko TBS ya serikali ya Tanzania inayoongozwa na Chama cha Mapinduzi?
 
Mkuu, kuiamini au kutokuiamini TBS ni swala jingine. Ni kweli hawa wenzetu hawatupendi kivile na ndio maana sheria za usalama wa chakula inter/national zinataka vyakula vikaguliwe kwanza kabla havijaingia sokoni ili kuhakiki usalama coz mapunguwani duniani huwa hawakosekani!

Mie msisitizo wangu ulikuwa ni kwenye uhakiki wa viwango vya ubora wa bidhaa mf. bia zinazoingizwa nchi.
Kiuhalisia hawa TBS ni hopeless kabisa maana kama wapo na wanafanya kazi kwa nini kuna bidhaa feki madukani?? Hapa ndipo point yako ilipo Mh. Mphamvu. Na ni TBS wenyewe ndio wanastahili kujipima kwenye mzani na kujiuliza kwa nini kazi imewashinda..??!
 
Tatizo liko kwa viongozi wetu mkuu, Chulukia mfano wa Redbull, hiki kinywaji kuna baadhi ya Nchi hakiuzwi kabisa kwa sababu hakifai kwa afya, na hata Astralia kwenyewe kinapo toka huwa kuna warning za kutosha kuhusu hiki kinywaji, sasa njoo bongo, watu wanapapatikia si mchezo yaani ukionekana unakunwa Redbull unaonekana mjananja,

Na si vyakula tu, Mkuu hata hizi simu za mkonono baadhi ya Nchi kama Canada, Norway na zinginezo zimepiga marufuku kwa watoto wa umri wa chini ya miaka 14 kutumia simu, make inasemekana zina waathiri sana watoto kutokana na ile mionzi, ila huku Bongo ni Makanusho juu ya makanusho,
 
Wazo lilinijia miaka kadhaa nyuma, nilipokuwa katika sehemu fulani ya starehe... Jamaa mmoja fundi wa TANESCO alikuwa amepiga dili ya kishoka, ana elfu 18 mfukoni (ilikuwa si pesa haba wakati huo), na sisi tulikuwa sehemu ya wapambe wake.
Tulikunywa kadiri tulivyotaka, pesa ilikuwepo! Tofauti yetu na bosi wetu ilikuwa aina ya kinywaji, wakati sie tukinywa Safari na Bia BINGWA, mshua alikuwa anapata Heineken Kombora, huku akijitapa kuwa hanywi uchafu (akimaanisha hizi za TBL) anapokuwa na hela.
Mzungu mmoja wa uswahilini alikuwa jirani pale, akamhoji jamaa kisa cha kupapatikia bia za Uholanzi, wakati mzungu alikuwa akinywa Pilsner ya EABL, Nairobi?
Mzungu akatutia na kutupanua, maana imani ni kutiana na mawazo ni kupanuana. Ya kuwa ati bia za huko kwao ambazo zinaletwa Afrika huwa ni zile za kimea cha daraja ya chini kabisa. Neno likamrudi tajiri wetu kuwa yeye ndio anakunywa uchafu!
Miaka mingi mbele baada ya tukio lile bado najiuliza, ni sawa kwa sisi kupapatika na bidhaa ya kutoka Arabuni ambayo hata Dabaga waitengeneza? Ndiyo, kuna vyakula tele toka Ulaya, Arabuni na Afrika Kusini huko masupamaketi, vyakula ambavyo hata huku vipo.
Hao wa Ulaya na Arabuni wanazo rasilimali za kutosha kutulisha wakati wenyewe wana uhaba?
#Sumu za kujitakia#
Read to the end and see the pictures - Yuk! is not enough......BE WARNED!!

DANGEROUS IMPORTED FOODS

The whole world is scared of China making 'black hearted goods'. Can you differentiate which one is made in the USA , Philippines , Taiwan or China ? For your information ... the first 3 digits of the barcode is the country code wherein the product was made.
Sample: all barcodes that start with 690.691.692 until 695 are all MADE IN CHINA.

4 71 is Made in Taiwan .
This is our human right to know, but the government and related department never educate the public, therefore we have to RESCUE ourselves.
Nowadays, Chinese businessmen know that consumers do not prefer products 'made in china', so they don't show from which country it is made.
However, you may now refer to the barcode, remember if the first 3 digits is 690 to 695, then it is Made in China ...
00 ~ 13 USA & CANADA
30 ~ 37 FRANCE
40 ~ 44 GERMANY
49 ~ JAPAN
50 ~ UK
57 ~ Denmark
64 ~ Finland
76 ~ Switzerland and Liechtenstein
628 ~ Saudi-Arabian
629 ~ United Arab Emirates
740 ~ 745 - Central America
All 480 Codes are Made in the Philippines.
DO NOT BUY FOOD PROCESSED IN CHINA , HONG KONG , VIETNAM AND THAILAND !!! there are no food inspection regulations!!!

Have a taste for chicken tenders? READ THIS
WATCH WHAT YOU BUY. ESPECIALLY HIGHLINER FISH PRODUCTS; all come from China , even though the box says ' product of Canada ', it is from China and 'processed' in Canada , that is, the coating is added and packaged in Canada only! The fish are raised in pens using chemicals that are banned in Canada as cancer causing but legal in China . This was exposed on CBC TV's Marketplace.
This one will make you think before buying anything from China .
Well, are you enjoying seeing Chinese food popping up in your supermarket left and right? Have you noticed you can't buy a single package of fish that isn't made in China (or Vietnam )? Do you think your food from China is processed in a sanitary manner, and thus safe to eat? Take a look at this!!
THINK ABOUT IT. These undercover enclosed pictures speak a thousand words.
Avoid buying all processed food packaged in China Anything goes! We just don't know what else is in those packages. Unlike in the U.S. And CANADA , China does not have laws regulating food processing.
Basically,do not buy any processed food from China , also Hong Kong , too. MANY companies are using a Hong Kong address to avoid this type of image reputation.
Early dawn, starts the day by riding around to collect dead chickens.
Asking around for dead chickens.
Total of 5 riders are hired by the boss to ride to farms to buy dead chickens.
A dead chicken cost 1 RMB and would be sold at 9 RMB after processing.
Storage for the dead chickens in the court yard.
Carcasses are thrown everywhere.
And on the floor....
Four employees start de-feathering the dead fowl after soaking in boiling water from a rusty wok.
Enduring the pungent odour, but sometime, it becomes so terrible that even the most experienced of the workers would puke.
Workers rushing to get the chickens de-feathered.
A discarded bath tub being used to soak the bare skin dead chickens....
The contaminated water would have accelerated the decomposition process.

Wearing slippers walking among the chickens before the coloring processing.

After the color dye, its creepy to find that they are quite tenderized.

And now presenting the mouth watering Charcoal Roasted Chicken!
Send to as many people as possible. Do NOT buy food originating in China (or Vietnam or Thailand)! Take the time to read the labels and look for country of origin! STOP BUYING ANYTHING FROM CHINA . PERIOD ~ Your Health is at Stake!
 
Usiwalaumu TBS kwa sababu kuna bidhaa ambazo madhara yake huwa ni ya muda mrefu na huwa hakuna madhara ya ghafla, chukulia mfno wa Redbull, hii kwa upande wa TBS haina shida ila kiafya haifai na kuna nchi huwa unaambiwa utumie at your own risk,

chukulia mfano wa Sigara, Hapo TBS unazani wanaweza fanya chochote? ingawa baadhi wao ni kuweka sheria kari sana kuhusu Sigara, hata kwenye Pombe nchi nyingi huweka sheria kari mno

nakumbuka kuna watalii kutoka Ubligiji walikuja Tanzani na walistajabu kukuta huku Pombe zinauzwa kama maji na watu wanaweza kunwa kuanzia asubuhi hadi hadi jioni, na walishangaa kukuta kila baada ya mita tano kuna Baa wakati jiji zima la Brusseris baa zinahesabika, so serikali ndo imelala inawaachia wanachi wateketee
 
Mkuu, kama umenisoma vizuri sijawalalamikia TBS ila nimesema wako hopeless na hii ni kwasababu ya kujilundikia majukumu. Mfano, ubora wa chakula ni wao, bidhaa nyingine ambazo si vyakula ni wao, magari ni wao n.k. Je unajua kuwa maabara za chakula TBS hazijawa-certified ktk kiwango cha kimataifa kufanya test nyingi za vyakula? Hii ni kwa sababu ya kutokuwa na capacity ya kufanya most of the food analyses na vifaa muhimu na vya kisasa vinavyothitajika?! Human resource sina uhakika ila tuna SUA inayotoa wataalamu wa kutosha na juzi tu taasisi mpya ya sayansi na teknolojia ya Nelson Mandela, Arusha ilizinduliwa nayo pia inatarajiwa kutoa wataalamu wa viwango vya juu (uzamili na uzamivu) ktk fani ya chakula..., hivyo labda wataalamu tunao wa kutosha! Sasa nikuulize swali.., ikiwa hatuna maabara yenye uwezo wa kuhakiki chakula ktk kiwango kinachotakiwa je usalama wa chakula uko wapi hapo??!

Vyakula kama pombe na bidhaa nyingine kama sigara ni kweli vina madhara kama utumiaji wake umevuka viwango kupindukia. Ndio maana kwenye vifungushio vyao huwa wanaonyesha kuwa unywaji wa pombe au uvutaji wa sigara una madhara kwa mwili, hivyo hapo ni wewe mlaji/mvutaji kuamua kama unatumia hiyo bidhaa ama la! Hapo hakuna wa kulaumiwa awe TBS au mtengeneza wa bidhaa husuka!. Ndio maana hata wavutaji sigara wakiugua kansa ya mapafu hawaendi kushtaki kampuni ya sigara!! Au wakifa familia hailipwi fidia!
Jambo la muhimu ni TBS kujipanga na kuangalia kipi wanaweza kufanya viizuri 100% na mengine yanayowasumbua kujaribu kuyatafutia agency mbadala [hii sio lawama ni ushauri tu]. Tanzania bila bidhaa feki madukani inawezekana!

Pili, mfano wako wa baa za Brussels, may be unaweza kuwa valid, but hilo la watalii wa Ubelgiji kushangaa baa kila mahali hapa kwetu nalipinga coz mie nimejionea kwa macho yangu bar na club kila mahali ktk mji Gent, Belgium na watu wanakunywa kuanzia asubuhi, wanalewa na kutapika kila mahali kiasi utashangaa kama uko Europe! Pia hao hao wabelgiji walitakiwa wakuelimishe kuwa kwao wana aina za bia 300+ tena zenye kilevi kuanzia 7.5% v/v.., so ulevi nisehemu ya maisha yao!

Nadhani umenisoma vizuri.
Kila la kheri.
 
Read to the end and see the pictures - Yuk! is not enough......BE WARNED!!

DANGEROUS IMPORTED FOODS

The whole world is scared of China making 'black hearted goods'. Can you differentiate which one is made in the USA , Philippines , Taiwan or China ? For your information ... the first 3 digits of the barcode is the country code wherein the product was made.
Sample: all barcodes that start with 690.691.692 until 695 are all MADE IN CHINA.

4 71 is Made in Taiwan .
This is our human right to know, but the government and related department never educate the public, therefore we have to RESCUE ourselves.
Nowadays, Chinese businessmen know that consumers do not prefer products 'made in china', so they don't show from which country it is made.
However, you may now refer to the barcode, remember if the first 3 digits is 690 to 695, then it is Made in China ...
00 ~ 13 USA & CANADA
30 ~ 37 FRANCE
40 ~ 44 GERMANY
49 ~ JAPAN
50 ~ UK
57 ~ Denmark
64 ~ Finland
76 ~ Switzerland and Liechtenstein
628 ~ Saudi-Arabian
629 ~ United Arab Emirates
740 ~ 745 - Central America
All 480 Codes are Made in the Philippines.
DO NOT BUY FOOD PROCESSED IN CHINA , HONG KONG , VIETNAM AND THAILAND !!! there are no food inspection regulations!!!

Have a taste for chicken tenders? READ THIS
WATCH WHAT YOU BUY. ESPECIALLY HIGHLINER FISH PRODUCTS; all come from China , even though the box says ' product of Canada ', it is from China and 'processed' in Canada , that is, the coating is added and packaged in Canada only! The fish are raised in pens using chemicals that are banned in Canada as cancer causing but legal in China . This was exposed on CBC TV's Marketplace.
This one will make you think before buying anything from China .
Well, are you enjoying seeing Chinese food popping up in your supermarket left and right? Have you noticed you can't buy a single package of fish that isn't made in China (or Vietnam )? Do you think your food from China is processed in a sanitary manner, and thus safe to eat? Take a look at this!!
THINK ABOUT IT. These undercover enclosed pictures speak a thousand words.
Avoid buying all processed food packaged in China Anything goes! We just don't know what else is in those packages. Unlike in the U.S. And CANADA , China does not have laws regulating food processing.
Basically,do not buy any processed food from China , also Hong Kong , too. MANY companies are using a Hong Kong address to avoid this type of image reputation.
Early dawn, starts the day by riding around to collect dead chickens.
Asking around for dead chickens.
Total of 5 riders are hired by the boss to ride to farms to buy dead chickens.
A dead chicken cost 1 RMB and would be sold at 9 RMB after processing.
Storage for the dead chickens in the court yard.
Carcasses are thrown everywhere.
And on the floor....
Four employees start de-feathering the dead fowl after soaking in boiling water from a rusty wok.
Enduring the pungent odour, but sometime, it becomes so terrible that even the most experienced of the workers would puke.
Workers rushing to get the chickens de-feathered.
A discarded bath tub being used to soak the bare skin dead chickens....
The contaminated water would have accelerated the decomposition process.

Wearing slippers walking among the chickens before the coloring processing.

After the color dye, its creepy to find that they are quite tenderized.

And now presenting the mouth watering Charcoal Roasted Chicken!
Send to as many people as possible. Do NOT buy food originating in China (or Vietnam or Thailand)! Take the time to read the labels and look for country of origin! STOP BUYING ANYTHING FROM CHINA . PERIOD ~ Your Health is at Stake!

Mkuu, si kila bidhaa inayotoka China ni ya kiwango hafifu au cha chini! Iwe ni chakula au bidhaa nyingine!
Je umeshawahi kununua bidhaa za China zinazouzwa ktk masoko ya nchi za Ulaya, US au hata Asia mf. Japan?

Utashangaa kwa sababu ni za viwango vya juu sana. Kasheshe inakuja hapa kwetu Tz au huku kwettu Africa! Kila unachogusa ni feki au poor quality mpaka unajiuliza tuna matatizo gani?! Je ni sie tunaotaka bidhaa za viwango vya nchini/hafifu au ni safety/standard regulatory bodies hazifanyi kazi zake sawasawa?! Ona mfano wa Kenya wiki chache zilizopita wamefungia simu zote ambazo ni feki! Sasa jiulize je Tz hilo linawezekana?
Kazi ni kwako kuchekecha pumba, chuya na mchele!
Kila la kheri!
 
Wazo lilinijia miaka kadhaa nyuma, nilipokuwa katika sehemu fulani ya starehe... Jamaa mmoja fundi wa TANESCO alikuwa amepiga dili ya kishoka, ana elfu 18 mfukoni (ilikuwa si pesa haba wakati huo), na sisi tulikuwa sehemu ya wapambe wake.
Tulikunywa kadiri tulivyotaka, pesa ilikuwepo! Tofauti yetu na bosi wetu ilikuwa aina ya kinywaji, wakati sie tukinywa Safari na Bia BINGWA, mshua alikuwa anapata Heineken Kombora, huku akijitapa kuwa hanywi uchafu (akimaanisha hizi za TBL) anapokuwa na hela.
Mzungu mmoja wa uswahilini alikuwa jirani pale, akamhoji jamaa kisa cha kupapatikia bia za Uholanzi, wakati mzungu alikuwa akinywa Pilsner ya EABL, Nairobi?
Mzungu akatutia na kutupanua, maana imani ni kutiana na mawazo ni kupanuana. Ya kuwa ati bia za huko kwao ambazo zinaletwa Afrika huwa ni zile za kimea cha daraja ya chini kabisa. Neno likamrudi tajiri wetu kuwa yeye ndio anakunywa uchafu!
Miaka mingi mbele baada ya tukio lile bado najiuliza, ni sawa kwa sisi kupapatika na bidhaa ya kutoka Arabuni ambayo hata Dabaga waitengeneza? Ndiyo, kuna vyakula tele toka Ulaya, Arabuni na Afrika Kusini huko masupamaketi, vyakula ambavyo hata huku vipo.
Hao wa Ulaya na Arabuni wanazo rasilimali za kutosha kutulisha wakati wenyewe wana uhaba?
#Sumu za kujitakia#

Hapo sasa!!
 
Mkuu, kuiamini au kutokuiamini TBS ni swala jingine. Ni kweli hawa wenzetu hawatupendi kivile na ndio maana sheria za usalama wa chakula inter/national zinataka vyakula vikaguliwe kwanza kabla havijaingia sokoni ili kuhakiki usalama coz mapunguwani duniani huwa hawakosekani!

Mie msisitizo wangu ulikuwa ni kwenye uhakiki wa viwango vya ubora wa bidhaa mf. bia zinazoingizwa nchi.
Kiuhalisia hawa TBS ni hopeless kabisa maana kama wapo na wanafanya kazi kwa nini kuna bidhaa feki madukani?? Hapa ndipo point yako ilipo Mh. Mphamvu. Na ni TBS wenyewe ndio wanastahili kujipima kwenye mzani na kujiuliza kwa nini kazi imewashinda..??!

Hebu tuwaweke TBS pembeni kidogo.
Tuchukue mtazamo wa mwananchi wa kawaida ambaye ni kama anajilea mwenyewe. Mimi napendekeza matumizi ya bidhaa za nyumbani kwa vile hata sisi tunaweza kujiridhisha na mazingira ya utengenezwaji wake.
Juisi ya Bakhresa au mayonaizi ya Dabaga ni bora zaidi kwa kuwa inatengenezwa hapa hapa na tunajua viwanda vilipo kuliko hizo za Arabuni na Ulaya ambako hatuna uhakika na matengenezo yake, achilia mbali uzembe wa mashirika yetu kuruhusu vitu vibovu.
Kama wameweza kuleta simu feki kwanini isiwe vyakula?
 
Wazo lilinijia miaka kadhaa nyuma, nilipokuwa katika sehemu fulani ya starehe... Jamaa mmoja fundi wa TANESCO alikuwa amepiga dili ya kishoka, ana elfu 18 mfukoni (ilikuwa si pesa haba wakati huo), na sisi tulikuwa sehemu ya wapambe wake.
Tulikunywa kadiri tulivyotaka, pesa ilikuwepo! Tofauti yetu na bosi wetu ilikuwa aina ya kinywaji, wakati sie tukinywa Safari na Bia BINGWA, mshua alikuwa anapata Heineken Kombora, huku akijitapa kuwa hanywi uchafu (akimaanisha hizi za TBL) anapokuwa na hela.
Mzungu mmoja wa uswahilini alikuwa jirani pale, akamhoji jamaa kisa cha kupapatikia bia za Uholanzi, wakati mzungu alikuwa akinywa Pilsner ya EABL, Nairobi?
Mzungu akatutia na kutupanua, maana imani ni kutiana na mawazo ni kupanuana. Ya kuwa ati bia za huko kwao ambazo zinaletwa Afrika huwa ni zile za kimea cha daraja ya chini kabisa. Neno likamrudi tajiri wetu kuwa yeye ndio anakunywa uchafu!
Miaka mingi mbele baada ya tukio lile bado najiuliza, ni sawa kwa sisi kupapatika na bidhaa ya kutoka Arabuni ambayo hata Dabaga waitengeneza? Ndiyo, kuna vyakula tele toka Ulaya, Arabuni na Afrika Kusini huko masupamaketi, vyakula ambavyo hata huku vipo.
Hao wa Ulaya na Arabuni wanazo rasilimali za kutosha kutulisha wakati wenyewe wana uhaba?
#Sumu za kujitakia#

Kiswahili yako siyo makini sana! kule kwetu mchambawima tusingekuelewa vyema ati! Ushanfahamu!!!
 
Hebu tuwaweke TBS pembeni kidogo.
Tuchukue mtazamo wa mwananchi wa kawaida ambaye ni kama anajilea mwenyewe. Mimi napendekeza matumizi ya bidhaa za nyumbani kwa vile hata sisi tunaweza kujiridhisha na mazingira ya utengenezwaji wake.
Juisi ya Bakhresa au mayonaizi ya Dabaga ni bora zaidi kwa kuwa inatengenezwa hapa hapa na tunajua viwanda vilipo kuliko hizo za Arabuni na Ulaya ambako hatuna uhakika na matengenezo yake, achilia mbali uzembe wa mashirika yetu kuruhusu vitu vibovu.
Kama wameweza kuleta simu feki kwanini isiwe vyakula?

Mkuu, kwa mf. wa mwananchi anayejilea mwenyewe, atanunua mf. unga (wa kupima) toka duka lililo jirani. Huo unga huenda ulisagwa na wajisiliamali wadogo wa kule Uwanja wa ndege au Ukonga (naelewa wengi wako maeneo hayo). Kwa bahati mbaya au niseme bila kujua hao wasagishaji huwa hawafuati taratibu zinazotakiwa ktk kuhakikisha usafi/ubora wa bidhaa wanayotengeneza. Pia kwa bahati mbaya zaidi shirika letu la viwango halina/halijawahi kuwa na mpango wa kuwaelimisha namna bora ya kutengeneza unga, hivyo basi ubora wa huo unga ni wa kutilia mashaka! Kuponea kwetu ni vile tunapika ili kuua vijidudu lakini kuna kemikali ambazo hata upike vipi hazita ondelewa mf. kuvu (mycotoxins) in case kama walitumia mahindi ambayo yalikuwa yameota fungi (coz nobody knows!!), ....hivyo utaona kuwa hatuko salama kivile!

Inapokuja kwenye viwanda vikubwa (umetoa mf. wa juisi ya Bhakresa na mayonaise ya Dabaga).., yes ubora na usalama wa bidhaa unatarajiwa kuwa mkubwa kwa sababu ya teknolojia ya usindikaji na sheria au taratibu zilizowekwa na shirika la viwango ktk ku-monitor food quality and safety. Nirejee mf. wa unga. Bakhresa anatengeneza unga pia (mahindi na ngano).., kwa hali yeyote ile anatakiwa kufuata taratibu za usagishaji na ufungishaji (packaging) hivyo quality na safety ya unga wake itakuwa ya juu sana ukiliganisha na wajasiliamali wadogo. Mie sitarajii kukuta viwango vya kuvu (mycotoxins) vya hali ya juu kupita vile vilivyowekwa na TBS ktk unga wa Bakhresa (huu ni mfano tu).

Nirudi kwenye mada:
Mkuu, ubora wa bidhaa hautegemei wapi bidhaa inatoka au wapi na nani anategeneza, bali hutegemea kama taratibu zilizowekwa kuhakikisha ubora na usalama wa chakula (wakati wa usindikaji) zimefuatwa. Iwe kwa viwanda vikubwa au vidogo, ndani na nje ya nchi.

Hivyo bado swala la ubora na usalama wa chakula haliepukiki iwe ni kwa wananchi wa kawaida ama la, au kiwe kimetoka nje au kinatengenzwa hapa nchi! Kuna maswala ambayo hata ukiwa mlalahoi ni haki yako na hili ni mojawapo. Na pia usalama/ubora wa chakula ni zaidi ya mazingira ambayo chakula kinatengenezwa.

Pia nielewe kwamba sipingi matumizi ya bidhaa za hapa nyumbani kwa namna yeyote ile..., mie msisitizo wangu ni kwenye ubora na usalama na hapa TBS hina pa kuficha sura yake!
Naamini nimesomeka.

Kila la kheri?
 
Tatizo liko kwa viongozi wetu mkuu, Chulukia mfano wa Redbull, hiki kinywaji kuna baadhi ya Nchi hakiuzwi kabisa kwa sababu hakifai kwa afya, na hata Astralia kwenyewe kinapo toka huwa kuna warning za kutosha kuhusu hiki kinywaji, sasa njoo bongo, watu wanapapatikia si mchezo yaani ukionekana unakunwa Redbull unaonekana mjananja,

Na si vyakula tu, Mkuu hata hizi simu za mkonono baadhi ya Nchi kama Canada, Norway na zinginezo zimepiga marufuku kwa watoto wa umri wa chini ya miaka 14 kutumia simu, make inasemekana zina waathiri sana watoto kutokana na ile mionzi, ila huku Bongo ni Makanusho juu ya makanusho,

Nchi ambayo inaboronga kila sekta, siasa, elimu, uwekezaji na kila kitu.
Inakuwaje tutegemee shirika lake moja litende kazi kwa ufanisi na kutuingizia vyakula salama?
Akili kumkichwa bandugu...
 
Back
Top Bottom