salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 654
Jamani nina habari mpya ambazo watu wote hawazijui. Nimeandika vitabu na magazeti ya kiswahili na kizungu kusambaza habari hizi na kuziweka kwenye website www.quasserer.com lakini watu hawajiungi wala kusoma zile ambazo hazilipiwi. Hata kama ni rahisi kuchangia laki kwa ajili ya harusi kwa kuwa angalau utakula pilau lakini je maarifa si bora kuliko pilau? Nisaidieni kuuza habari hizo mpya na za ukweli nyinyi pia members nunueni.