Kufungua account msaada

Kufungua account msaada

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,440
Reaction score
1,409
Poleni na shughuli Wana jamiiforum nlikuwa naomba kujulishwa,nlikuwa najishauri nifungue a/c kwenye benki gan,nimeangalia web ya nbc,crdb ,crdb kuna scholar a/c na nbc cjajua vizuri,nlikuwa nahitaji saving yakawaida kama scholar a/c.je requirement zake nifanyeje,na minimal opening balance zikoje,kwa mf scholar ac.?
 
Kama ni mwanachuo fungua akaunti za kibumubumu. Swali lako liko general sana
 
barua ya uthibitisho,kitambulisho chochote,kama mwanachuo karibu crdb boom linachukua siku chache.enewi ni maamizo yako
 
Back
Top Bottom