Chimbuvu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2012
- 4,401
- 2,332
Watu wengi huogopa wanaposikia kifo na kusikitika,lakini cha kushangaza ni kuwa kila nafsi itaonja mauti.maisha duniani ni mafupi,unaweza ukawa na mali nyingi hadi akaunti uswisi ukawa nazo lakini kifo kitakapokutembelea hautazikwa na pesa zako ama nyumba yako uliyojenga,na cha kushangaza wanaweza kukuvalisha hata nguo uliyokuwa huipendi.
One million dollar question....je baada ya kufa kuna maisha tena?kwa sisi waamini tunaimani kuwa kuna mbingu na kuzimu,mbinguni tunaenda kwa neema sio matendo,kwa kuwa huwa tunakosea mara nyingi tukiwa duniani,neema ya kumtambua Yesu kristo kuwa ni mwana wa Mungu,aliyeishi katika mwili ,akafa kwa ajili ya dhambi zetu ili tuololewe na siku ya tatu akafufuka,na kuzimu ni sehemu ambapo waiomuamini Yesu kristo,,mbinguni tumeandaliwa mji uliojengwa kwa marumaru na barabara za huo mji zimetengenezwa kwa dhahabu,nachuchumia ili niweze kuingia ktk mji wenye raha,paradiso,tuonane paradiso,tuonane paradiso kwenye mji wa raha.oohh death where is your sting?oohh kifo mwiba wako upo wapi?to God be the Glory!