Mauaji Ukanda wa Gaza!

Mauaji Ukanda wa Gaza!

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,780
Habarini Jamani wa JF! Naomba mnisaidie kwani na shindwa kutofautisha mafundisho ya Bible kuhusu kuua na Utakatifu wa taifa la Israel. Bible inasema usiuue na Israel ni taifa teule mbele ya Mungu hadi hata Wagogo, Wamatumbi, Wahaya, Wahehe, Wachaga nakadharika wanadai nao ni Waisrael. Swali langu Je Taifa tukufu lina Bible yake? Mnaosupport taifa hilo nanyi mnakubaliana na mauaji ya Kigaidi na halaiki yanayofanywa na taifa hilo?
 
Inamaana wakichokozwa,wasijibu mapigo?
 
Totautisha siasa na dini. Waisraeli dini yao kuu ni ya kiyahudi, vita vinatokana na migongano ya ki-utamaduni, uchumi na siasa za mashariki ya kati. Kuna mambo mengi huko ndio maana unaona Misri ndio mpatanishi sasa na sio Marekani au Iran!
 
Habarini Jamani wa JF! Naomba mnisaidie kwani na shindwa kutofautisha mafundisho ya Bible kuhusu kuua na Utakatifu wa taifa la Israel. Bible inasema usiuue na Israel ni taifa teule mbele ya Mungu hadi hata Wagogo, Wamatumbi, Wahaya, Wahehe, Wachaga nakadharika wanadai nao ni Waisrael. Swali langu Je Taifa tukufu lina Bible yake? Mnaosupport taifa hilo nanyi mnakubaliana na mauaji ya Kigaidi na halaiki yanayofanywa na taifa hilo?

Dunia imegawanyika sehemu kuu mbili; Kuna binadamu na waislam, Binadamu akishambuliwa utasikia mashirika ya Sijui human right watch na mengine yana piga kelele, lakini akidhuriwa muislam nobody cares, sio huko tu kuna sehemu inaitwa Mynmar waislam huko wanachinjwa kama kuku nobody care! Kwa hiyo hiyo ndio Dunia mkuu!
Ila pole sana kama inakuuma.
 
umeongea point mkuu
 
"Walio wangu nawajua, nitawasamehe mabaya yao yote na kulichukua Taifa langu". maneno haya yanapatikana kwenye Bibila ila sikumbuki ni kitabu gani na mstari gani yakilihusu Taifa la Israel.
 
Hawa jamaa wako vitani, na vita havina uhusiano na imani ya watu, vita ni vita tu. Tatizo hapa sio Israel hata kidogo tatizo ni hicho kikundi cha Hamasi ambacho chenyewe kinajificha sehemu salama na kutuma makombora kwenda Israel. Israel ikijibu dunia inakuja juu kulaumu mashambulizi. Hamasi wanajua kanuni ya Waisrael, akiuwawa Muisraeli mmoja lazima wafe wapalestina zaidi ya kumi, lakini pamoja na kuijua kanuni hii hawaachi uchokozi. Na hawa Hamasi wanatumiwa na mataifa yenye chuki na Israel lakini wanaoumia ni Wapalestina.

Wakitaka amani wasiishambulie Israel la sivyo wataendelea kuuwawa kama kuku. Kumbuka dini haisemi ukishambuliwa ukae kimya. Waisrael hawalikubali agano jipya la Biblia hivyo kwao jino ni kwa jino hakuna cha mtu akikupiga shavu la kulia wewe mgeuzie na la kushoto!!!!

Tiba
 
History is about to change in the world for ever. Watch closely, you might get a chance to narrate to your grand kids.
 
Fujo na ughaidi ambao 99.99% hufanywa na waislamu vinafanya ulimwengu kukosa huruma pale mwislamu anapoonewa kwani mara nyingi mwislamu ndo anaonekana mwenye makosa
 
Dunia imegawanyika sehemu kuu mbili; Kuna binadamu na waislam, Binadamu akishambuliwa utasikia mashirika ya Sijui human right watch na mengine yana piga kelele, lakini akidhuriwa muislam nobody cares, sio huko tu kuna sehemu inaitwa Mynmar waislam huko wanachinjwa kama kuku nobody care! Kwa hiyo hiyo ndio Dunia mkuu!
Ila pole sana kama inakuuma.

Na hao hao Waislamu wamegawanyika mara mbili. Kuna kundi la Wanafiki ambao wao hawaoni ubaya ila tu unapofanywa na asiye Muislam. Syria wanakufa watu maelfu kwa maelfu na sijasikia kelele za Mtanzania yeyote hapa JF. Sababu ni wamba ule muuaji ni MGAWA TENDE NA NYAMA ZA KONDOO
 
Hamjui hata zamani palikuwa na VITA?
Kumbuka Wana wa Israel kipindi wanavuka Bahari ya Shamu walimuasi Mungu hivyo badala ya kufika nchi ya Ahadi iliwachukua miaka 40 jangwani hadi wazazi,watoto wote waliotoka Misri walipokufa na kubaki kina Caleb na Joshua hawa walipigana vita ili kufika nchi ya ahadi na walipomkosea Mungu walishindwa vita.
 
Habarini Jamani wa JF! Naomba mnisaidie kwani na shindwa kutofautisha mafundisho ya Bible kuhusu kuua na Utakatifu wa taifa la Israel. Bible inasema usiuue na Israel ni taifa teule mbele ya Mungu hadi hata Wagogo, Wamatumbi, Wahaya, Wahehe, Wachaga nakadharika wanadai nao ni Waisrael. Swali langu Je Taifa tukufu lina Bible yake? Mnaosupport taifa hilo nanyi mnakubaliana na mauaji ya Kigaidi na halaiki yanayofanywa na taifa hilo?

Kumbe mnatamani Wayahudi wangekuwa Wakristo eeh ili Hamas wanaporusha makombora wasijibiwe. Imekula kwenu asee, hao Wayahudi ni kama nyinyi Waislamu, TORATI inafanya kazi yake.

Na wewe mnafiki usiniambie eti watu 40 wameuuma roho zaidi ya Maelfu wanaouawa na Bashir Al Assad huko Syria. Au akiua Muislamu mwenzenu haina dhambi?
 
Dunia imegawanyika sehemu kuu mbili; Kuna binadamu na waislam, Binadamu akishambuliwa utasikia mashirika ya Sijui human right watch na mengine yana piga kelele, lakini akidhuriwa muislam nobody cares, sio huko tu kuna sehemu inaitwa Mynmar waislam huko wanachinjwa kama kuku nobody care! Kwa hiyo hiyo ndio Dunia mkuu!
Ila pole sana kama inakuuma.

tatizo lenu waislam sawa na toto tukutu lililoshindikanika na baba yake ni wakorofi mda wote mnawaza uhalifu tu ko hata baba hawezi wasaidia anawacha mchapwe sana na kaka zenu ili mtie akili kwenye empty mind zenu
 
Habarini Jamani wa JF! Naomba mnisaidie kwani na shindwa kutofautisha mafundisho ya Bible kuhusu kuua na Utakatifu wa taifa la Israel. Bible inasema usiuue na Israel ni taifa teule mbele ya Mungu hadi hata Wagogo, Wamatumbi, Wahaya, Wahehe, Wachaga nakadharika wanadai nao ni Waisrael. Swali langu Je Taifa tukufu lina Bible yake? Mnaosupport taifa hilo nanyi mnakubaliana na mauaji ya Kigaidi na halaiki yanayofanywa na taifa hilo?
Nadhani unahitaji kuisoma Bible tena. Mungu alumwita Yakobo "Israel" maana yake "mpiganaji".
 
Back
Top Bottom