Tbc

Sala

Member
Apr 21, 2012
22
2
Naskitika sana television ya Taifa TBC kwenye dstv mara mnapotea mara mnarudi nashindwa kuelewa kweli mmejipanga kurusha matangazo yenu kimataifa ama bado mpo kwenye majaribio? Kasheshe ni pale wakati wa usomwaji wa taarifa za habari. Clips mmezirekodi siku hiyohiyo lakini zinagoma kucheza ina maana gani?vyombo vyenu vibovu ama vipi?tena mara mnaongeza sauti ambapo inanilazimu nikae na remote control ya decorder yangu kupunguza na kuongeza sauti mnamatatizo gani? Halafu taarifa zenu hazina mvuto wa kutazama kabisa. Kama kuna siku mlikuwa mnarusha siasa tupu pasipo na habari nyingine iliyokuwa na uzito. Naombeni msitutie aibu maana hata nchi nyingine zinawatazama myatendayo
 
Achana na TBC jamani utasumbuka mno,ilishajifiya hiyo tangu enzi.Ndio maana watu tunajikuta tunaangalia na kusikiliza taarifa za KBC,KTN na wakina CITIZEN tu.So annoying.
 
piga chini hao tbccm,kama upo nchini bora uangalie star tv na itv,hawa ni marehemu anayepuliziwa pafyumu.
 
Back
Top Bottom