Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kila akili ya mtazania wa leo aishie mjini na vijijini amewafahamu mapacha hawa watatu ambao ni: 1)CCM 2)TANESCO 3)TIGO Haiwezi kupita dakika bila mtanzania kuwatukana hawa mapacha watatu...
9 Reactions
43 Replies
4K Views
Mtangazaji wa ITV michezo anatupa habari zingine za kina Mess na Pele bila kutaja habari za timu yetu iliyocheza na kushinda leo! Habari gani ina uzito zaidi ya hii? Tuenzi vyetu kwanza.
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Upepo wa mabadiliko unaoikumba dunia sasa unavuma ndani ya Ulaya na Marekani. Tujaalie upepo huu unaweza kuisambaratisha Marekani,taifa lenye nguvu duniani na yaliko makao makuu ya Umoja wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
1.Walistahili/Hawakustahili kupata Shahada za Heshima za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Mtangulizi wake East African College? 2. Wanajiita Dr. kwa Shahada hizi za heshima? 3. Wameifanyia nchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MASWAHIBU KATIKA IDARA YA UTUMISHI WA WALIMU (TSD) Idara mojawapo inayokumbana na maswahibu mazito kutokana na hali hiyo ni idara ya utumishi wa walimu ambayo inazo ofisi hadi ngazi ya wilaya...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Jirani wetu wa Kenya wameanza kupiga kura kwa kutumia mitambo ya ki elektroniki. Mitambo hii husaidia kuwapunguzia shida watu kukimbia na maboksi ya kura. Vilevile husaidia kupunguza ukuaji wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
mara nyingi na hata hapa jf utasikia kama wenzetu marekani au uingereza . au mbona rais obama hafanyi hivyo au anafanya hivi. au mbona wenzetu kenya wamefanya hivi. hivi ni kweli sisi watanzania...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu... kama kichwa cha habari kijielezavyo,nina hitaji nyumba yakupanga...nipo mimi na mdogo wangu. Hivyo nyumba ninayo hitaji ni vyumba viwili tu vyakulala yani chumba na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kulingana na hali mbaya ya uongozi wa CCM na Serikali yake nimeamua kujitoa kuweka akiba ya kusaidia chama mbadala cha Ukaombozi na maendeleo ya watu - CHADEMA kwa ajili ya kuchukua madaraka ya...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Naomba wapenzi wote wa JF tuijadili mada hii kiuhalisia na ikiwezekana kwa mifano iliyohai. Imekuwa ni kawaida kabisa kwa vyama vya upinzani(vyote) kutoa kauli mbalimbali juu ya mwenendo wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana taarifa ya habari ya TBC ya saa mbili nikiwa naangalia kwa umakini , nilijikuta nazima TV na kulala kwani Mtangazaji hama alifanya kwa makusudi kuficha tukio la Vurugu zilizotokea jana...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Dhana ya Tanzania kisiwa cha amani na kauli za watawala wa nchi kwamba watailinda na kuidumisha amani kwa nguvu zote nadhani sasa havina mashiko na practicality zake ni utata mtupu. Kuna clip ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tanzania ya Leo mipango yooote ya misaada na mikopo ya kimaendeleo imeelekezwa kwa WANAWAKE NA VIJANA! Hivi ni kweli hapa Tanzania wanaume wazee wote ni MATAJIRI?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Basi la Arusha express linalofanya safari kati ya Dodoma na Arusha limepinduka eneo la Makuyuni kutokana na kupasuka tairi ya mbele. Hakuna vifo ila majeruhi wapo. Vyombo husika mnaombwa kufika...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Ndege mpya africa crj -900 ng hatimae imekuwaya kwanza kutua anga za tanzania jioni ya leo..kwa waliokuwepo walitamani kukata tkt ya kuondoka lakini kutokaana namuda mdogo imekuwa ngumu kidogo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tanzania tuna hazina ambazo wengi wetu bado hawajui na pengine wahusika hawaja zitangaza kazi za mikono yao. Furniture hizi tofauti na zile za pale Chan'gombe na kwengineko ambako huunda...
7 Reactions
37 Replies
10K Views
Ndugu zangu, samahani kama nitakuwa nimeweka bandiko kama si mahala pake. Kwa kuamini wengi wanapita hapa naamini ni sababu tosha ya kutaka mwenye mawasiliano ya namba za simu, barua pepe na...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
jamani wanajamvi naona nafasi ya naibu katibu mkuu chadema bara imepwaya sana!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hatimae Beatrice Kamtindo kasafiri leo kwenda India kwa matibabu, amepata mchango zaidi ya 22m akakabidhiwa, akapewa tena 4.5m na leo kapewa cash 2.7m. Juhudi hizi kutoka ITV na staring ni Sam...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
How to Rob Africa ? The world's wealthy countries often criticise African nations for corruption - especially that perpetrated by those...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Back
Top Bottom