This is developing story:
TUKIO la kusikitisha limetokea hivi karibuni katika Kijiji cha Wenda, Kitongoji cha Lupeta, mkoani Iringa kwani umekutwa mwili wa mwanakijiji aliyetambulika kwa jina...
Mh. Magufuli kituo cha mabasi yaendayo mkoani ni kichafu hakifai sijui pesa zinazokusanywa pale zinafanya kazi gani. Leo nimebahatika kuingia kituoni pale nikakutana na bango FUATA TARATIBU...
Askari wakitoa heshima za mwisho katika mazishi ya kamanda Barlow.
Naomba kuuliza risasi hizo zinazopigwa juu hazina madhara zinaporudi chini kwa bahati mbaya zikakuta mwili wa binadamu?
Habari zenu wana Jf?
Kuna tetesi nimeipata kutoka kwenye chanzo cha kuaminika kwamba yule Mfanyabiashara na Mwanasiasa mtata R.A ameondoka rasmi nchini jana..hii ni baada ya kuindosha familia yake...
Wakuu,
Leo nilialikwa kwenye harambee ya KKKT dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Longuo - Moshi ambapo walikua na harambee ya ujenzi wa kanisa, na mgeni rasmi alitegemewa kuwa Mbunge wa Hai...
Kutokana na tukio la kuuawa kwa Mwandishi wa Channel 10 Marehemu Daudi Mwangosi, vyombo vya habari vilikubaliana kususia kutangaza habari zinazomuhusu Kamanda Kamuhanda. Lakini katika hali ya...
lengo ni kuitetea zanzibar kua huru.kundi hilo lilobahatika nakua na wafuasi wengi zanzibar limetoa tamko rasmi leo adhuhur katika msikini wa mbuyuni mjini magharibi zanzibar juu ya kuitaka...
Huyu mheshimiwa na Simba yake hivi karibuni matamshi yake yanaonekana kama amepata ugonjwa fulani wa akili uitwao "Simple schizophrenia" dalili zake ni kusema maneno mengiiii, na kuruka topic moja...
Nimekuwa nikijiuliza muda mrefu bila majibu sahihi,kwa nini mwandiko wa wanawake hutofautiana na wa wanaume.Ukikuta maandiko mahala,ni rahisi tu kujua mwandishi ni mwanaume au mwanamke.Wote...
MAMA MZAZI WA MTOTO ALIYEKATWA MKONO AWASHUKURU WAKAZI WA MBEYA NA MAJIRANI WALIOTOA TAARIFA YA KUTESWA KWA MTOTO WAKE
MAMA MZAZI WA ANETH ASERA MKANDARA
ANETH SASA ANAEDELEA VIZURI...
Paroko wa Parokia ya Isimani,Angelo Burgio akiwa amelazwa kwenye chumba maalum katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa wakati akisubiri kufanyiwa upasuaji baada ya kupigwa risasi na majambazi...
Bila kusita, namtangaza Mhandisi wa barabara ya Boko kupitia ununio kuwa hana kiwango cha kutengeneza barabara za karibu na ufukwe, au hana kiwango kabisa, nashangaa hawa waandisi wa Tanroad...
Kwamjibu wa taarifa toka vyanzo vyetu muhimu ndani ya ardhi ya Malawi, ni kuwa majadiliano yaliyotakiwa yaendelee yamevunjia baada ya kutofautia misimamo ya wahusika!
Taarifa zaidi itawajia punde!
Ndugu great thinkers
Kwa muda mrefu nimekuwa nikipita kwenye customer care offices za makampuni ya simu hasa pale mlimani city. Moja mambo niliyo yaona ni foleni kubwa ya wateja wateja wanao...
Ndugu zangu
Leo nasikitika kuwataarifu kuwa ndugu yetu Kulwa Juma Ikangaa (government name Beatrice Juma Ikangaa) amefariki dunia jana jumamosi. Msiba uko nyumbani kwa Mzee Juma Ikangaa Sinza...
Gazeti la Mwananchi uk 7, leo kuna picha ikiwaonyesha wanafunzi wa Seminary ya Markaz wakicheza karti wakati wa Mahafali ya Form 4.
Kwa muda sasa imekuwa ikidaiwa kuna Misikiti kadhaa, Waumini...
uzinduzi wa jiji la arusha uliofanyika Ijumaa iliyopita ambao mgeni rasmi alikuwa mheshimiwa rais jakaya kikwete umegharimu milioni 114.Je kiasi ni halilali kutumika kwa sherehe ya masaa matatu...
na hii inafanyika katika nchi nyingi mojawapo ni PHILIPINES mara warudipo katika nchi yao (HATA LIKIZO) wanapigiwa mahesabu pale airpot au border then wanalipishwa kodi ..... Na hii inawezekana...