Vyombo vyote vya habari vilisusia kumtangaza Kamanda Kamuhanda?

M

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2008
Messages
2,534
Points
1,195
M

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined May 8, 2008
2,534 1,195
Kutokana na tukio la kuuawa kwa Mwandishi wa Channel 10 Marehemu Daudi Mwangosi, vyombo vya habari vilikubaliana kususia kutangaza habari zinazomuhusu Kamanda Kamuhanda. Lakini katika hali ya kushanga kituo cha ITV tarehe 17/11/2012 na 18/11/2012 vilimtangaza Kamuhanda katika tukio la kujeruhiwa kwa Mapdri wa Kanisa Katoliki Mkoani Iringa. Wana JF mnalionaje hili.
 
E

eedoh05

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
632
Points
225
E

eedoh05

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
632 225
Kutokana na tukio la kuuawa kwa Mwandishi wa Channel 10 Marehemu Daudi Mwangosi, vyombo vya habari vilikubaliana kususia kutangaza habari zinazomuhusu Kamanda Kamuhanda. Lakini katika hali ya kushanga kituo cha ITV tarehe 17/11/2012 na 18/11/2012 vilimtangaza Kamuhanda katika tukio la kujeruhiwa kwa Mapdri wa Kanisa Katoliki Mkoani Iringa. Wana JF mnalionaje hili.

Source of iinformation ya uhalifu huo ilitolewa na Kamhanda. Sasa wangemkwepa vipi? Vinginevyo ilikuwa kuwasusia mapadri wale wazee.
 
B

Babuyao

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2009
Messages
1,733
Points
1,225
B

Babuyao

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2009
1,733 1,225
Kutokana na tukio la kuuawa kwa Mwandishi wa Channel 10 Marehemu Daudi Mwangosi, vyombo vya habari vilikubaliana kususia kutangaza habari zinazomuhusu Kamanda Kamuhanda. Lakini katika hali ya kushanga kituo cha ITV tarehe 17/11/2012 na 18/11/2012 vilimtangaza Kamuhanda katika tukio la kujeruhiwa kwa Mapdri wa Kanisa Katoliki Mkoani Iringa. Wana JF mnalionaje hili.
Kabla wengine hatujachangia kwanza wewe mwenyewe toa maoni yako! Wewe unasemaje juu ya hilo?
 
Forum statistics

Threads 1,295,829
Members 498,404
Posts 31,224,511
Top