Idadi ya wanaorudisha line za simu zilozopotea


Mtumiabusara

Mtumiabusara

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2009
Messages
473
Points
170
Mtumiabusara

Mtumiabusara

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2009
473 170
Ndugu great thinkers
Kwa muda mrefu nimekuwa nikipita kwenye customer care offices za makampuni ya simu hasa pale mlimani city. Moja mambo niliyo yaona ni foleni kubwa ya wateja wateja wanao renew line zao za simu. Maswali ninayo jiuliza ni:
1. Simu zilizopotea pamoja na line za wateja hao zinachukuliwa hatua gani?
2. Makampuni ya simu yanachukua hatua gani kuwezesha polisi kuwakamata watu wanaotumia simu za wizi? Au mpaka polisi waje waombe msaada?
3. Natambua mtu akichukua pesa kwenye benki akaunti ya mtu mwingine bila idhini ni tatizo kubwa kwa benki, na benki inaweza kumshitaki muhusika. Je mitandao ya simu nayo inaamini hivyo au ina utaratibu huo?
 

Forum statistics

Threads 1,294,739
Members 498,025
Posts 31,186,571
Top