Wauguzi tunaomba huruma yenu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,738
155,421
403316_10150558514639011_485923074_n.jpg
 
Ogopa fani ambayo wengi tuliomo 'kombi' zetu haziku-balance yaani tuliambulia D za civics na kiswahili!
Wazazi wakaweka vikao watupeleke wapi, upolisi au uuguzi....kura zikapigwa bila ridhaa yetu, mwisho tukajikuta wodini tunebeba 'bedpan'...usikasirike nesi, tupo wengi ambao hatukupanga kuja huku.
Mapenzi ya kazi hayatokani na unene wa mshahara! Lol!
 
Back
Top Bottom